Unajuaje kama mleta post ni mumeUumekuta.mkeo kavificha ndani
Hiyo ipo sana kitaa, halafu girls huwa hawawezi kumhisi mtu mgonjwa, hata akitokea mwanaume anayekohoa huku amekondeana lakini ana ka-vitz basi wanafurahia sana, hawakatai.nna tukio kama lako mkuu, ila mimi sikwenda guest nilishtuliwa mapema sana. ikabaki kuzuga mpaka leo
tabu ni moja nawafahamu watu wanao piga huyo manzi mbaya zaidi wana mkwanja na wanakuja piga pia hawa wengine ambao na sie kina pangu pakavu tunavizia.mambo ya ngoma naogopa sana
Yani ukitaka kujua uchungu anaouskia,fkiria ndo ur girl siku unamkuta navyo,na huwa mnaenda kavu...HApo sasahii ni kama mateso ya Yesu, aliomba kikombe cha mateso na shuluba kimuepuke lakini ikabidi asulibishwe kutimiza unabii, na huyu jamaa kauliza kwa jazba huku akiomba visiwe vya ngoma,[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] bahati mbaya ni vyenyewe.
πππππ Wabongo kwa ubuyu nomaaa shilawadu shilawaduuuπππEheee. baada ya kufuata kondom Mwenge ukaja nazo sinza, endelea kusimulia....
Mume wewe ndiyo wa kumjibu hilo.Mke wangu kuna mtu anauliza huku
Babu unazingua kwa mwendo huu utatukeshesha hapa kwenye uzi wako....em andika kitu kinachoeleweka wengine tunataka kulala tuwahi Ibada asubuhi!!!je uligonga kavu kavu mbichi kabisa au vipi?fanya short n clear hayo ya voda sijui wapi hapa haya-apply tena maana toka mwanzo hukutushirikisha.Ndungu yangu mmoja upande wa mama angu yupo pale voda Mama angu ndio aliniambia nikamuone kwa kisingizia me ndio nataka kaz bwana nikaenda nikachonga nae nika mueleza ukweli kwamba sio mim ni mke wangu mtarajiwa ndio anataka kazi akaniambia nitege siku flani atume cv kweli bwana mwisho wa siku akatuma cv Mungu Mkubwa aisee pamoja na juhudi za yule mother angu akapangiwa interview atabid sasa aje town kweli kafika Dar aka akafikia kwa shangazi ake kino siku ya interview akaenda pale akapass safii tuuuh yani daaah nirifurahi kupita maelezo na yeye pia baada ya miez mitatu akapanga sinza apo kilanikikutana naye kwenye maswala ya mapenzi ni ugomvi mkubwa sana uwezi amin miez 5 yote kidume nakula calendar tuuh tuuh iyo siku nilienda kwake nusu tupigana eti yupo kwenye siku zake za hatari na nilimwambia kua nitakuja kulala uko leo vurugana sana yani nilikula mateke ayoo akaniambia eti nifuate condom saa 6 usiku daah nitaenda duka gani nikaenda geto kwangu mwenge chukua ndom na kurud usiku ule ule
Hapo gonga Elisa Test kujihakikishia. na kuanzia leo uokoke kabisaNipo na doctor light now kaniambia no need of (PEP) Baada ya maongezi ya muda mrefu hapa kwa kakope hosptal ya masister daaah kanitoa wasi wasi woote yani huyo doctor ni fundii
Ila Demu anajielewa sana kaniambia kama wanawake wote wangekua hiv pasingekua na mahambukizi mapya ya ukimwi santeni kwa ushauri wenu
Hapana kashatoa kinaga ubaga tayariBado kazimia
Usicheke hiki kitu ukisikie tu hivihivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo na doctor light now kaniambia no need of (PEP) Baada ya maongezi ya muda mrefu hapa kwa kakope hosptal ya masister daaah kanitoa wasi wasi woote yani huyo doctor ni fundii
Ila Demu anajielewa sana kaniambia kama wanawake wote wangekua hiv pasingekua na mahambukizi mapya ya ukimwi santeni kwa ushauri wenu
Ishu ni kupima mkuu, kondomu zina shida nyingiNipo na doctor light now kaniambia no need of (PEP) Baada ya maongezi ya muda mrefu hapa kwa kakope hosptal ya masister daaah kanitoa wasi wasi woote yani huyo doctor ni fundii
Ila Demu anajielewa sana kaniambia kama wanawake wote wangekua hiv pasingekua na mahambukizi mapya ya ukimwi santeni kwa ushauri wenu
duuhhh!!! hapo ukiviona tu dalili za ngwengwe zinakuandama fasta, usipojua unaweza kuchanja mbuga kwa miaka kibao.Yani ukitaka kujua uchungu anaouskia,fkiria ndo ur girl siku unamkuta navyo,na huwa mnaenda kavu...HApo sasa
Kwahiyo na wewe unamezaga?Mke wangu kuna mtu anauliza huku
Mawazo yataharibu kila kitu,starehe nyingne hatar sanaduuhhh!!! hapo ukiviona tu dalili za ngwengwe zinakuandama fasta, usipojua unaweza kuchanja mbuga kwa miaka kibao.
Hujui kama hujui hahahaaMi nasubiria kujua nn kimejiri Hata sijui Kama ni Arv au ni nini
Alikuja nazo na akapiga mzigo hahaaπππππ Wabongo kwa ubuyu nomaaa shilawadu shilawaduuuπππ
Natamani mwanaume wangu ashushwe awe malaika asiwe mchepukajiKuokoka is the best way,na mtu utakaye kuwa nae aokoke mungu atuepushie,but mahusiano...Ni kumuomba mungu sana
Demu wako aliekupigia simu mliachana au mlikuwa pamoja baada ya kushtukia kama unataka kuchepuka na muathirika?... Miaka kadhaa nyuma nilukutana na changamoto kama hii : Nilikutana na mlimbwende mmoja kwenye harusi ya jamaa yangu na nikamzimikia kweli. Kila nikimsomesha wapiii, na baada ya miezi kadhaa nika give up,maisha yakasonga. Baadae nikapata mdada mwingine tunaendelea naye for some time, maybe a year, tukaachana.One day nikakutana na yule mlimbwende na surprisingly this time kum test kidogo tuu anakubali, na tukapanga kesho tufanye yalee mambo yetu. Kesho yake tukakutana, kikaanza kinywaji then tukaingia room, sasa wakati ndo tunaanza kupasha kabla ya mechi simu ikaanza kuita nikawa nachuna, yule mlimbwende anahisi nipokee kwanza labda ni muhimu, nikapokea, kumbe ni yule demu wangu tuliyeachana naye, nikataka kukata simu but akaniwahi kwamba.. '' wewe huyo uliyenaye hapo ni muathirika, na kama unafikiri ni uongo mpigie rafiki yako fulani muulize '' akakata simu!! Aisee nilipaniki hatari, mlimbwende akaniuliza vipi tena?? Nikamdanfanya kumetokea ajali na mdogo wangu yuko mahututi, mchezo ukaishia pale na akaondoka zake. Nitampigia jamaa yangu kupata uhakika, akasema ni kweli huyo ni muathirika, aisee huo mwezi ulikuwa mchungu sana kwangu... Baada ya hapo nikawa kila miezi sita napima but was found OK. Baadae, after a year or so yule mlimbwende akafariki kwa hilo tatizo.