Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Ndo vyenyewe ila mimi nimezoea vya kahawia au wakati mwingine napewa vyeupeView attachment 489859
Bro/Sister...kama hutojali ungebadilisha username yako,kama nimeelewa ulichokipost hapa na kweli umemaanisha usijiite Mtengwa jiite angalao Mpendwa Id unayotumia inaakisi ni kama kuna watu wanakutenga na ukijiita hivi kweli utatengwa.pole sana.
 
Nilifanikiwa kula mzigo without those hot kiss cos alikua anakwepa nikala mzigo kibishi tuuuh mzeee mpaka mornie mwenzangu akuwa anaonyeshe kuridhika sijui sababu nilimforce sawa nikachukulia kawaida sasa zile kurupushani za usiku zile mpaka vitu vingi kuanguka chin yani vilikua shangala bagala akaenda kuoga na mim nianze kutafuta boxer yangu sijui imeanguka upande gani ndio kukutana na hizo kama nane hv zipo chin mhhh kwa sikushtuka ila nikahis kitu nikasema ngoja nichukue kimoja nikaweka kwenye mfuko leo hiyoo nikaenda muuliza mwanangu yeye kashaumwaga krb magonjwa mengi sana nikamuulize ebwana unavijua hiv babu akaniambie eti vitakua vyo kuongeza damu hiv nishatumiaga sema vidogo vyake hiv vikubwa sana kuna mwana mwingine akandandia arv hivyooo wewe nishaviona sehemu Moyo ukafanya paah aisee niliishiwa nguvu bdae akaniambia ila sina uhakika ndio mimi kuna hapa jf ila yule mwanamke ajui chochote
Mkuu umelala naye lini?
 
Kuna dada alikuwa HIV+, alikutana na boyfriend walidate kwa mwaka mzima tena walikuwa wanakwenda kavu, yule dada alikuwa na undetectable status. Sasa jamaa amefika bei siku moja amerudi kazini na engagement ring, dada kabla hajakubali ilibidi awe mkweli kuhusu hali yake. Kama kawaida jamaa alichanganyikiwa, siku ile alikwenda baa alikunywa mpaka baa inafungwa, akatafuta guest akaenda kulala, kesho yake akajiwahi kwenye kitengo huku amefunga kabisa vioo kwa mdada.

Alipata majibu kuwa hajaathirika, baada ya kupata ushauri nasaha alimwendea dada na kumwambia bado anampenda. Walifunga ndoa na kupata watoto, tena alikuwa anambusha kabisa kunywa dawa.
Weee hizo stori umezidisha chumvi sasa
 
Huyo jamaa atakuwa ni msukuma.
 
Acha woga nenda kacheki afya bado mapema hizo ni TLE kama profile yangu ilivyo yaani Tenofovir 300mg,Lamivudine 300mg na Efavirenz 600mg bila shaka umenisoma,kama anatumia nenda kacheki kwanza afya yako kabla ya kufanya maamuzi
 
Back
Top Bottom