Ndungu yangu mmoja upande wa mama angu yupo pale voda Mama angu ndio aliniambia nikamuone kwa kisingizia me ndio nataka kaz bwana nikaenda nikachonga nae nika mueleza ukweli kwamba sio mim ni mke wangu mtarajiwa ndio anataka kazi akaniambia nitege siku flani atume cv kweli bwana mwisho wa siku akatuma cv Mungu Mkubwa aisee pamoja na juhudi za yule mother angu akapangiwa interview atabid sasa aje town kweli kafika Dar aka akafikia kwa shangazi ake kino siku ya interview akaenda pale akapass safii tuuuh yani daaah nirifurahi kupita maelezo na yeye pia baada ya miez mitatu akapanga sinza apo kilanikikutana naye kwenye maswala ya mapenzi ni ugomvi mkubwa sana uwezi amin miez 5 yote kidume nakula calendar tuuh tuuh iyo siku nilienda kwake nusu tupigana eti yupo kwenye siku zake za hatari na nilimwambia kua nitakuja kulala uko leo vurugana sana yani nilikula mateke ayoo akaniambia eti nifuate condom saa 6 usiku daah nitaenda duka gani nikaenda geto kwangu mwenge chukua ndom na kurud usiku ule ule