Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Ukimwi si kifo
 
Hiyo undetectable status ndio inakuwaje?darasa kidogo pliz
 
Uuuh kwa mara ya kwanza tangu nimejiunga jf Leo ndio nimefuatilia uzi hadi mwisho.
hata mm aisee!!
ila kiukwel hatulali leo kama vi episode hiv vitaendelea!!
nasoma uzi na wife hapa, ameanza kuniganda tukapime!!

kwa mm labda nikapime Uzito tu ndo ntaweza, mengine hayo atapima yy akibeba mimba....

Kanuaaaa, tayari mzungu wa nne umehusika hapa
 
Hiyo undetectable status ndio inakuwaje?darasa kidogo pliz
Unapokunywa dawa na wadudu wanaisha kwenye mzunguko wa damu ila wanabaki wamejificha kwenye chembe (cells) zenye kinga ya mwili ambako ARV haiwezi kufika. Ukiacha kutumia dawa wanarudi tena kwenye mzunguko wa damu na kuanza mashambulizi upya.HNKER-hardson
 
Jamani ukimwi Upo aupimwi kwa macho ata kidogo aiseee msimuamin mtu ata awe mzuri vip cos nikiwadondoshea picha hapa akuna atakaye Amini japo siwezi kuweka picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…