Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Kutokana na uzi huu nimejua maana ya PEP na Arv, jamii forum ni kiboko ya mitandao ya jamii yote inakutanisha watu wenye mawazo ya kujenga
Nimefatilia comment baada ya comment
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, mi mwenyewe alikua ananikata stimu na vistori badala ya kwenda moja kwa moja kwenye point
 
ARV vipo kama paracetamol, vyeupe. ila sijui kama zipo vya aina tofauti tofauti.
Kuna vya grade one na kuna vile ambavyo wanapewa wale waliotumia dose na kukatisha huwezi pewa kama vya aina ya kwanza na kuna vya lala salama hivyo havitumiki ili kuepusha usugu kwa wale wavivu wa kumeza dawa.
 
Duuh nisiongee chochote tu ila mungu aepushe haya...

Maana sio kila utakae fanya naye mtaenda kupima.
kweli wangu, huu UKIMWI haukimbiliki kwa urahisi. Tunajiinga kama homa zingine tu, Lakini kama imepangwa kuuvaa lazima utauvaa tu. Mnaweza pima na mkaishi pamoja na mmoja wenu akauvaa somewhere akaja kukupatia na wewe. ni hatari sanaaa................pia kuishi na mwenye virusi haina mana na wewe umepata. Yaani tuzidi kumuomba Mungu atuepushe na maradhi na ajali
 
Hizo ni Klonidini hutumiwa katika matibabu ya uondoaji afyuni. Sio ARV, tuache upotoshaji.
 
Yaani kati ya sehemu nazo kuwa mpole ni hapa kwenye kutajwa tajwa hili gonjwa. Hapa wiki nzima sigeuki nyuma wala pembeni
 
Duuuh bro pole sana. Ila jmn kuna lakujifunza ktk hili janga la mwenzetu,mimi binafsi niliwahi waskia wadada flani warembo ktk mazingira ambayo walijua hakuna mtu atakae wasikia na walikuwa wanakumbushana kutokuacha kunywa ARVs kila siku aiseeee skuamini na hio ulikuwa ni mazingira ya chuoni.
 
Ila mi Nina ushauri kwa mleta mada. Wewe kidume,kidume hupaswi kukimbia tatizo. Hebu mface huyo Dada then mwambie umeona kitu hiko katika mazingira hayo Hapo kwake. Ni vya nini yeye akupe manibu while you have eyes contact and facial expression. Be polite kama utaitumia hii
 
Unapandwaje kichwani. Hahaaaa
Ni pale unapokuwa na kiburi,hutaki kusikiliza maelekezo ya mmeo, rafiki zako wanakupeleka kwenye makundi mabaya, hutaki kuona ndugu wa mme, mmeo akikuelekeza kitu hutaki kujishusha unambishia,unataka kuchukua nafasi ya kiongozi wa familia,ujuajijuaji
Ukiweza hayo, unaweza kuwa mke halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…