Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, mi mwenyewe alikua ananikata stimu na vistori badala ya kwenda moja kwa moja kwenye pointBabu unazingua kwa mwendo huu utatukeshesha hapa kwenye uzi wako....em andika kitu kinachoeleweka wengine tunataka kulala tuwahi Ibada asubuhi!!!je uligonga kavu kavu mbichi kabisa au vipi?fanya short n clear hayo ya voda sijui wapi hapa haya-apply tena maana toka mwanzo hukutushirikisha.
Unapandwaje kichwani. HahaaaaNjoo kwangu sichepuki, ila unapaswa kuwa mwaminifu wewe kwanza,na ujue nafasi na thamani ya mwanamke katka familia,usijaribu kumpanda kichwani mmeo
Kuna vya grade one na kuna vile ambavyo wanapewa wale waliotumia dose na kukatisha huwezi pewa kama vya aina ya kwanza na kuna vya lala salama hivyo havitumiki ili kuepusha usugu kwa wale wavivu wa kumeza dawa.ARV vipo kama paracetamol, vyeupe. ila sijui kama zipo vya aina tofauti tofauti.
Unapandwaje kichwani. HahaaaaNjoo kwangu sichepuki, ila unapaswa kuwa mwaminifu wewe kwanza,na ujue nafasi na thamani ya mwanamke katka familia,usijaribu kumpanda kichwani mmeo
kweli wangu, huu UKIMWI haukimbiliki kwa urahisi. Tunajiinga kama homa zingine tu, Lakini kama imepangwa kuuvaa lazima utauvaa tu. Mnaweza pima na mkaishi pamoja na mmoja wenu akauvaa somewhere akaja kukupatia na wewe. ni hatari sanaaa................pia kuishi na mwenye virusi haina mana na wewe umepata. Yaani tuzidi kumuomba Mungu atuepushe na maradhi na ajaliDuuh nisiongee chochote tu ila mungu aepushe haya...
Maana sio kila utakae fanya naye mtaenda kupima.
Amevikuta kwenye mkoba wa demu wake na angongaga peku.!Doctor amethibitisha ni venyewe.
Nyoosha maelezo nini kimejiri.
Dada naona umetoa ya moyoni,ila kuhusu kujifunza ni kwa bith sides,girls na boysMme zidi.Kama kuna manaume kapitia hapa %60 ,watakuwa wamejifunza kitu.
Mimi nimetoka Jupiter mkuu. Ya duniani kwangu mageni kabisaYani ulivyo shangaa utadhani hamjijui,au umetoka sayari nyingine
Yaani kati ya sehemu nazo kuwa mpole ni hapa kwenye kutajwa tajwa hili gonjwa. Hapa wiki nzima sigeuki nyuma wala pembenikweli wangu, huu UKIMWI haukimbiliki kwa urahisi. Tunajiinga kama homa zingine tu, Lakini kama imepangwa kuuvaa lazima utauvaa tu. Mnaweza pima na mkaishi pamoja na mmoja wenu akauvaa somewhere akaja kukupatia na wewe. ni hatari sanaaa................pia kuishi na mwenye virusi haina mana na wewe umepata. Yaani tuzidi kumuomba Mungu atuepushe na maradhi na ajali
hahahaUsikute umeleta demu afu umepiga kavu, kaenda kuoga umesearch kwa bag yake ukakutana navyo
Hapo ndipo utakapojua maana ya neno love
Shukrani kwa sahihisho mkuu,typing error imehusika hapo ila fresh kibongo bongo tulishaelewana.counselling
Aisee, sijui kama kuna malaika aliyewahi kuoa, ukishushiwa usisahau kunitumia kadi.Natamani mwanaume wangu ashushwe awe malaika asiwe mchepukaji
Nilijua tu mkuu,kule ma aliens huwa hawanaga mahusiano,nadhan wote ni jinsia mojaMimi nimetoka Jupiter mkuu. Ya duniani kwangu mageni kabisa
Ni kweli. Ila nyinyi mna chance ya kutongoza kila sketi ipitayo. Tofauti na sisi mpaka tutongozwe saa ngapiDada naona umetoa ya moyoni,ila kuhusu kujifunza ni kwa bith sides,girls na boys
Mim hapa hata siwez kuhangaika na mwingine ukiwa upo lahazizi!......Natamani mwanaume wangu ashushwe awe malaika asiwe mchepukaji
Ni pale unapokuwa na kiburi,hutaki kusikiliza maelekezo ya mmeo, rafiki zako wanakupeleka kwenye makundi mabaya, hutaki kuona ndugu wa mme, mmeo akikuelekeza kitu hutaki kujishusha unambishia,unataka kuchukua nafasi ya kiongozi wa familia,ujuajijuajiUnapandwaje kichwani. Hahaaaa