Ina nini mkuu mbona ni jina tuDah!!Hii ID yako ni hatari sana kwa kweli[emoji85] [emoji85]
InawezekanaHaiwezekani usiende hata dukani,mfano mwanafunzi au mfanya kazi,wangap ni mastranger na namba unawapa
Mke halaliVigezo vyote ninavyo ila sidhani Kama ntakuwa ...malizia mwenyewe
Sa umeona ilivyorahisi kuchepuka hapoInawezekana
Ndo vyenyewe ila mimi nimezoea vya kahawia au wakati mwingine napewa vyeupeView attachment 489859
Bathi tuhMke halali
Kwa nini sasa ?
Huko ni kujiua kihisia na kimawazo. Inakukula nani kwa ndani ndio hiyoNi kweli,ila kabla hajaenda kumona asali kwanza na afunge hata siku mbili tu,
Mkuu ulibaka? kurupushani Zote condom haiku pasukaNilifanikiwa kula mzigo without those hot kiss cos alikua anakwepa nikala mzigo kibishi tuuuh mzeee mpaka mornie mwenzangu akuwa anaonyeshe kuridhika sijui sababu nilimforce sawa nikachukulia kawaida sasa zile kurupushani za usiku zile mpaka vitu vingi kuanguka chin yani vilikua shangala bagala akaenda kuoga na mim nianze kutafuta boxer yangu sijui imeanguka upande gani ndio kukutana na hizo kama nane hv zipo chin mhhh kwa sikushtuka ila nikahis kitu nikasema ngoja nichukue kimoja nikaweka kwenye mfuko leo hiyoo nikaenda muuliza mwanangu yeye kashaumwaga krb magonjwa mengi sana nikamuulize ebwana unavijua hiv babu akaniambie eti vitakua vyo kuongeza damu hiv nishatumiaga sema vidogo vyake hiv vikubwa sana kuna mwana mwingine akandandia arv hivyooo wewe nishaviona sehemu Moyo ukafanya paah aisee niliishiwa nguvu bdae akaniambia ila sina uhakika ndio mimi kuna hapa jf ila yule mwanamke ajui chochote
Kuchepuka ni akili ya mtu na hulka.Sa umeona ilivyorahisi kuchepuka hapo
Utamnyima usingizi jamaaNadhani ukweli umeupata. Haya tuambie,umevipata wapi?
Sasa TLE ndo popular in use sanaaaaVipo mkuu. Brand nimeisahau kidogo. Tena zilikuwepo za 1E.
Mida ya wanga hii unadhani ntakuwa wapi??Unavyong'ata vidole na kuangalia chini, hiyo kukataa ni invalid, uko wapi kwanza
Mie nataka kujua msimamo wa mleta uzi baada ya yote haya;je wataendeleza tuu kwa kutumia ndom?je atamkacha mazima pasipo kumwambia sabab?au ndio ataamua afunge nae kabisa ndoa wazae na watoto?
na mimi ivoivoYaani kati ya sehemu nazo kuwa mpole ni hapa kwenye kutajwa tajwa hili gonjwa. Hapa wiki nzima sigeuki nyuma wala pembeni
Sometyms mopenzi wako anaweza akawa sababu ya ww kuchepuka,Kuchepuka ni akili ya mtu na hulka.
Mida ya wanga hii unadhani ntakuwa wapi??
Hakuna njia nyingine bora kama hyo mkuuHuko ni kujiua kihisia na kimawazo. Inakukula nani kwa ndani ndio hiyo