Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
Kabisaaa!Ukiona mtu anakukatalia game sanaaa wakati unadeserve jiulize mara2
[emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa!Ukiona mtu anakukatalia game sanaaa wakati unadeserve jiulize mara2
[emoji124]
Safi sana,kama ni mzuri kama ulivyosema,usimuache..E notationdelea kula mzigoKwa lecture niliyopewa leo nimepewa tips za kuweza kufanya naye mapenzi kwa kutumia condom au bila condom hila hii ya kavu sito itumia pia jinsi ya kuishi naye adi siku atakayo gundua me najua kuwa yeye nimuathirika nimesisitiziwa sana juu ya mahusiono yetu na nimepewa adi stori ya kupiga naye kabla ya tendo daah Madoctor ni shidaah kesho naenda nae movies au beach
Hongera mkuuNipo na doctor light now kaniambia no need of (PEP) Baada ya maongezi ya muda mrefu hapa kwa kakope hosptal ya masister daaah kanitoa wasi wasi woote yani huyo doctor ni fundii
Ila Demu anajielewa sana kaniambia kama wanawake wote wangekua hiv pasingekua na mahambukizi mapya ya ukimwi santeni kwa ushauri wenu
AminaEe Mungu baba msaidie mtoa mada kikombe kimeupuke na akienda kupima akutwe akiwa salama
We naweee!Leta zile site zako hapa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nisingeendelea nae na pia nisinge mkacha...angegeuka my best friend!Ww ungeweza kuendelea?!
HahahaaaMtaalam sana
[emoji7] [emoji7] [emoji7] paprika mi mwaminifu sina michepukoWe naweee!
Wewe ni muoga unaoneshaMimi ata nikitembea na mwenye ukimwi na akafa sipimi ata siku moja ili nijifariji sina
[emoji41] [emoji41]Hahahaaa
Labda...Nikija pm kwako ndo tutakuwa wote kitandani??
Hakuna kipimo bongo kinachoweza kukupa majibu ya hiv ndani ya muda mfupi hivyo, nenda hospital ya serikali upewe PEP kama emergency tu.Nipo na doctor light now kaniambia no need of (PEP) Baada ya maongezi ya muda mrefu hapa kwa kakope hosptal ya masister daaah kanitoa wasi wasi woote yani huyo doctor ni fundii
Ila Demu anajielewa sana kaniambia kama wanawake wote wangekua hiv pasingekua na mahambukizi mapya ya ukimwi santeni kwa ushauri wenu
AiseeKwa mara ya kwanza uzi wa kwenye jukwaa la jf doctor naufuatilia komenti kwa komenti.
Umbea hauna posho.
Mm nikipima nikijua ninao wiki watu watajua nimeasirika nitakonda paka nibaki jicho tuWewe ni muoga unaonesha
Njoo nikuchekeshe inbox baby[emoji7] humu tutatibua watu.Kuna watu wanachekesha humu. Mtoa mada nisamee Sana.
Akuuu!!! Sinjunjani ili niwe safe forever!!![emoji7] [emoji7] [emoji7] paprika mi mwaminifu sina michepuko
Daaaaah tayari marehem mtalajiwaNilifanikiwa kula mzigo without those hot kiss cos alikua anakwepa nikala mzigo kibishi tuuuh mzeee mpaka mornie mwenzangu akuwa anaonyeshe kuridhika sijui sababu nilimforce sawa nikachukulia kawaida sasa zile kurupushani za usiku zile mpaka vitu vingi kuanguka chin yani vilikua shangala bagala akaenda kuoga na mim nianze kutafuta boxer yangu sijui imeanguka upande gani ndio kukutana na hizo kama nane hv zipo chin mhhh kwa sikushtuka ila nikahis kitu nikasema ngoja nichukue kimoja nikaweka kwenye mfuko leo hiyoo nikaenda muuliza mwanangu yeye kashaumwaga krb magonjwa mengi sana nikamuulize ebwana unavijua hiv babu akaniambie eti vitakua vyo kuongeza damu hiv nishatumiaga sema vidogo vyake hiv vikubwa sana kuna mwana mwingine akandandia arv hivyooo wewe nishaviona sehemu Moyo ukafanya paah aisee niliishiwa nguvu bdae akaniambia ila sina uhakika ndio mimi kuna hapa jf ila yule mwanamke ajui chochote
Ni ARV. Trust me
Nitakuja kutoa maoni yangu,usijali