katabaroa
Member
- Dec 21, 2012
- 70
- 48
Dhu! Ujipendi weweKwa lecture niliyopewa leo nimepewa tips za kuweza kufanya naye mapenzi kwa kutumia condom au bila condom hila hii ya kavu sito itumia pia jinsi ya kuishi naye adi siku atakayo gundua me najua kuwa yeye nimuathirika nimesisitiziwa sana juu ya mahusiono yetu na nimepewa adi stori ya kupiga naye kabla ya tendo daah Madoctor ni shidaah kesho naenda nae movies au beach