Bashatu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 834
- 885
Hivi naskia ARV zinanenepesha mifugo kama mbuzi, ng'ombe hata kuku. Kweli dokta??Ni ARV mzee..ndo vyenyewe hivyo asee..mi nafanya kazi hosptl...na hivyo nacheza navyo kila siku...
Ni vyenyewe mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi naskia ARV zinanenepesha mifugo kama mbuzi, ng'ombe hata kuku. Kweli dokta??Ni ARV mzee..ndo vyenyewe hivyo asee..mi nafanya kazi hosptl...na hivyo nacheza navyo kila siku...
Ni vyenyewe mzee
Labda...
nenda kawape hao mifugoHivi naskia ARV zinanenepesha mifugo kama mbuzi, ng'ombe hata kuku. Kweli dokta??
[HASHTAG]#dumesurual[/HASHTAG] inbox ndo wapi huko??Njoo nikuchekeshe inbox baby[emoji7] humu tutatibua watu.
Hii kitu ni hatari Sana jamani. TujilindeDaaah hadi nimesinyaaa, hivi vidonge nasikiaga tu sjawahi kuviona, nimeogopa sana acha nitulizane tu
MUNGU anaweza yoteImpossible possible
AmenPray hard..!
God will make it mkuu
Haaaa, ntake radhi mkuuuWewe jamaa ni hayawani ase
Tatizo la wachepukaji hawana alama usoni,laiti MUNGU angekuwa amesema kila mchepukaji akichepuka anatolewa kiungo kimoja baada ya kingine. Basi kuna watu wangebaki na mikwaju yao tuNjoo kwangu tu mpendwa, sichepuki na wewe si mchepukaji lakini.
Cipro kazi yake ni niniHuu uzi umenikumbusha mbalii!!! Kiuna siku niko na bae... Tumemaliza mechi nikanyanyuka na kwenda kabatini nikameza kidonge kimoja cha cipro... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkaka wa watu aliruka toka kitandani kama ndama, jasho lilimtoka akaja nipana mkono nimuoneshe nimemeza dawa gani, ata nilivomwambia hakuniamini mpaka akajionea mwenyewe !!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mkuu.. Ndo umeathirika tayarNaomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin View attachment 489846View attachment 489847
Hahaha yani tabia za kupekenyua mikoba ya wadada mbona utakachokutana nacho utajutaHayajakukuta mkuu...USIOMBE YAKUKUTE yaani maji utayaita mma