Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Ni ARV mzee..ndo vyenyewe hivyo asee..mi nafanya kazi hosptl...na hivyo nacheza navyo kila siku...

Ni vyenyewe mzee
Hivi naskia ARV zinanenepesha mifugo kama mbuzi, ng'ombe hata kuku. Kweli dokta??
 
Njoo kwangu tu mpendwa, sichepuki na wewe si mchepukaji lakini.
Tatizo la wachepukaji hawana alama usoni,laiti MUNGU angekuwa amesema kila mchepukaji akichepuka anatolewa kiungo kimoja baada ya kingine. Basi kuna watu wangebaki na mikwaju yao tu
 
Huu uzi umenikumbusha mbalii!!! Kiuna siku niko na bae... Tumemaliza mechi nikanyanyuka na kwenda kabatini nikameza kidonge kimoja cha cipro... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkaka wa watu aliruka toka kitandani kama ndama, jasho lilimtoka akaja nipana mkono nimuoneshe nimemeza dawa gani, ata nilivomwambia hakuniamini mpaka akajionea mwenyewe !!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Cipro kazi yake ni nini
 
Ni bora ulete picha ya box lake tukuambie kuliko kutumia kidonge ......

Hii ni kwasababu viwanda siku hizi vinatabia ya kutoa dawa zakufanana umbo. ..
...mfano kiwanda cha Pom au Mylan
 
Back
Top Bottom