Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]mayoooooooooooo kwahiyo jamaa kavifuma mahali

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Roho za marehemu wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani amina.
 
Mkuu tuambie bwana,watu tume acha shughuli zetu tuna kusubiria wewe ujuwe,kama mm hapa nilipo nime sitisha shughuli zote nasubiria huo uzi nijuwe nn kime tokea....paka hzo dawa kuwa kiganjani mwako..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni vyenyewe mkuu, kwani humuamin daktari aliyekupa. We meza tu ni vyenyewe
 
Hiyo pep yenyewe siyo mchezo, vinachosha kama nini utatamani ufe, niliwahi kuvitumia baada ya kutembea na demu mwenye ngoma tulipoenda kupina yeye akaonekana anao baati yangu masaa 72 yalikuwa bado hayajaisha ndo nikapewa hizo da no shida sana ndugu zangu, nilitumia kwa siku 28 lakini nilijuta manake zinachosha utatamani ufe.
 
Povuuuuu...c ulale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Utakuja ua watu ww
 
Nimefika post ya 520 kurasa ya 11 ..ukimwi kweli hatari nimesahau mafundisho yote kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…