Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Mkuu kwa hiyo dawa ambazo huwa nawaandikia clients Wangu kama PEP huwa nakosea?. Kama hujui kama kimya mkuu
dr nawezaje kupata hizo pep? jana nilienda lunch na dada mmoja wa ofisini tulipiga stori kadhaa, wakati wa kuondoka tulikaa kwa muda kadhaa parking na hatimae tukapiga kimoja cha fasta hadi sasa nina mawazo mengi ilikuaje akaniachia kirahisi kiasi kile au labda anataka kuniua? msaada jinsi ya kupata hizo pep
 
Unatakiwa uende hospital ukapime na mpenzi wako. Ikibainika ameathirika basi utapewa dawa kama kinga dhidi ya maambukizi.
 
Unatakiwa uende hospital ukapime na mpenzi wako. Ikibainika ameathirika basi utapewa dawa kama kinga dhidi ya maambukizi.
mmmmhh mambo ya kupima tena kwani siwezi kupewa tu hivi hivi kama kinga?
 
mm sijui nina nyota ya HIV yan pamoja na kusoma uzi wote comment kwa comment lakini badi sijickii kutumia ndom hata kwa manzi mpya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama lindege john vile
 
Hakuna ARV kwa ajili ya wanawake wajawazito pekee Tanzania, point of correction.
 
Hvyo vidonge ndo vyenyewe arv piwa cyo panadol wala nn.. Aina nyingne hyo
 
Duh, **** mbaya sana!
Alafu nimetambua jf kuna watu wa vitengo wengi maana naona picha za dawa live mikononi humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…