Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

HIV doesnt exist in reality and AIDS is a condition which can appear in any human body but also it can be removed very easily in any human body.
Its real though i can AIDS itself is not a disease but it is a true disaster. I disagree with you that it can be removed very easily in our bodies.
 
BAADHI YA VITU VYA MSINGI VITAKAVYOKUEPUSHA NA HIV;
-USIMUAMINI MTU YEYOTE, TUMIA KONDOM, usipime mtu kwa macho pima kwa vipimo.
-USIPUUZE MANENO YOYOTE UNAYOAMBIWA MTAANI HATA NA WAMBEA KUWA MWENZIO AU UNAYEFUKUZIA NI MIATHIRIKA,
-KAMA UKO KTK MAHUSIANO LICHA YA KUTUMIA KONDOM JENGA TABIA YA KWENDA PIMA MARA KWA MARA KUJUA AFYA ZENU.
-KWA WANAUME EPUKA SANA KUPARAMIA WANAWAKE WASELA (MABACHELOR) WALIOPANGA GHETTO.
-TUMIA AKILI ZA KICHWA CHA JUU KUFANYA TATHMINI NA MAAMUZI BADALA YA KUTUMIA KICHWA CHA CHINI.

Huu ugonjwa upo na kamau watu wangekuwa wanapata alama usoni baada ya kuupata basi mtashangaa na jinsi UKIMWI ulivyo tuzunguka majumbani, mitaani na makazini.

Asilimia kubwa ya mke mwema ANGALAU anapatikana kutoka ktk familia ambayo binti anaishi na wazazi wake, yaani unamchukulia kwao, sio wote ila % kubwa. Wanawake wasela ni shida ukiingia kichwa kichwa majuto ni mjukuu.
 
Dr mshauri umeeleza mengi sana lkn wengi wanashidwa kujua kuwa ARV doze inatumika kwa magonjwa mengine kama Hepatatis B ni ugonjwa mbaya unapunguza sana kinga ya mwili pia inaambukizwa kwa njia ya ngono mpaka jasho na kwa sasa rate yake ni kubwa sana hapa Tanzania ni bora ukimwi kuliko huu ugonjwa

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kila rangi mkuu. Hata za blue zipo,za njano pia zipo.
arv-pill.jpg
 
Kuokoka is the best way,na mtu utakaye kuwa nae aokoke mungu atuepushie,but mahusiano...Ni kumuomba mungu sana
Mkuu samahani lakini hivi ukiokoka then ukangonoka na HIV+ haupati maambukizi enhee!!
Samahani lakini..
 
Back
Top Bottom