BAADHI YA VITU VYA MSINGI VITAKAVYOKUEPUSHA NA HIV;
-USIMUAMINI MTU YEYOTE, TUMIA KONDOM, usipime mtu kwa macho pima kwa vipimo.
-USIPUUZE MANENO YOYOTE UNAYOAMBIWA MTAANI HATA NA WAMBEA KUWA MWENZIO AU UNAYEFUKUZIA NI MIATHIRIKA,
-KAMA UKO KTK MAHUSIANO LICHA YA KUTUMIA KONDOM JENGA TABIA YA KWENDA PIMA MARA KWA MARA KUJUA AFYA ZENU.
-KWA WANAUME EPUKA SANA KUPARAMIA WANAWAKE WASELA (MABACHELOR) WALIOPANGA GHETTO.
-TUMIA AKILI ZA KICHWA CHA JUU KUFANYA TATHMINI NA MAAMUZI BADALA YA KUTUMIA KICHWA CHA CHINI.
Huu ugonjwa upo na kamau watu wangekuwa wanapata alama usoni baada ya kuupata basi mtashangaa na jinsi UKIMWI ulivyo tuzunguka majumbani, mitaani na makazini.
Asilimia kubwa ya mke mwema ANGALAU anapatikana kutoka ktk familia ambayo binti anaishi na wazazi wake, yaani unamchukulia kwao, sio wote ila % kubwa. Wanawake wasela ni shida ukiingia kichwa kichwa majuto ni mjukuu.