Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

[emoji1] [emoji1] mzee ulipenya kwenye tundu la sindano
 
Wengwe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hiyo ipo sana kitaa, halafu girls huwa hawawezi kumhisi mtu mgonjwa, hata akitokea mwanaume anayekohoa huku amekondeana lakini ana ka-vitz basi wanafurahia sana, hawakatai.
Tena maksudically wanakuambia na condom ainogi, hapa ni pale wanataka msuguane vizuri ili baadae akikuomba 250k utoe bila kupepesa macho wakati huo wewe ushamuachia kaugonjwa hatarishi
 
Kama ni vya your wife wako saidianeni kuvitumia maana hali si shwari, ( Things fall apart)
 
Nimefatilia uzi Toka mwanzon, sema sijaumaliza wote ila nikakutana na vitu kama PEP, undetectable status, naomba madaktar mnielezee vizur ni nn?.. msaada tafadhali
Post Exposure Prophylaxix,kitu kinachotumika kukukinga baada ya kuwa exposed na kitu flan ..eg mwanamke unekutana na mwanaume danger day,au mwanamke umebakwa,au umecontact na damu yenye virusi vya ukimwi kwa bahati mbaya..so within 72 hours unapata dawa za kukinga mimba au ukimwi ndo sasa vinaitwa PEP.
 
Baada ya kulala na njaa siku mbili 2 nlikuja kugundua hakuna ugonjwa mbaya kama wa kukosa pesa.. Kuhusu UKIMWI ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu..
 
Nime lazimisha kupima kaniambia aina ila kunitoa wasi wasi kanipima na hii kitu na nyingine kanipa yani majibu hapo hapoView attachment 489902
Mkuu maambukizi ya hyo kitu hayatoki kwa sk moja au tano hyo kitu inaweza kuja kuonrkana baada ya miezi hata kumi, naona dokta ameamua kukupoza tu ili uspaniki by now

Je pamoja na kupima uliweza kutumia kinga?
 
Kwanza hongera Kwa kutumia kinga maana wengine tungegegeda hivyo hivyo Kondomu ingevaliwa Ila katikati ya gemu inavuliwa
 
Ndio hizo mkuu maana mimi na miss chaga tunatumia za kahawia hizo hua zinachosha...Ila nashangaaga Mshana Jr anatumia ndio kwaanza ananenepa.Ila hzo ni ARv karibu ulimwengu wa clinic kila mwisho wa mwezi PASADA chang'ombe kuingia saa alfajiri kurudi usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…