Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Kwanini ulipima wakati hukula mkuu....?
 
Dah!
 
Daahh nashukuru mkuu mtoa mada mana nimefatilia kila koment ......hii ni zaidi ya filamu ya shumileta au insuka .....
 
How akuathirika plz TUJUZANE......
 
Ni kweli chances za kutoambukizwa ni 99% kama huyo mtu yuko kwenye undetectable status. Hii status inafikiwa pale mwathirika anapotumia ARV na kumaliza wadudu wanaozunguka kwenye damu na akawa anaendelea kutumia dawa.
Hapa napo vipi vijana tupo wengi na darasa hili ni funzo kwa woteee
 
Msalaaa skuizi hawaiti ARV wanaita ubuyu huo ubuyu kabisa ndowenyewe live bila chenga
Mkuu nimecheka sana I see. Naona sasa mnataka kumuua mtoa mada kwa pressure.
 
Hili gonjwa only God knows,labda ndo kiama chetu
 
Mkuu GISAMBO hebu uache uoga wa kike....njoo utujuze ilikuwaje vidonge hivyo vikaingia kwenye himaya yako. Ulimviziaje hadi ukavichota?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…