Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Mkuu maisha y mtanzania ni magumu sana. Hapo hapo ni mwathirika na hapo hapo familia inamtegemea. Kuna watu wangapi wenye kumudu gharama ya fluconazole injection ambayo bottle Moja ni 4500? Sasa hapo ukute kaandikiwa 1.2 mara Moja kwa hata siku 5 tu. Hiyo 1.2 ni sawa na bottle 6 mara 4500 mara 5. Ni wachachw sana wenye kumudu. Nenda wodi za magonjwa ya wenye ukimwi. Utawaonea huruma sana. Na hakika ukiwaona utaachana na mambo ya michepuko. Hutazini hata siku Moja.
 
Pia kama hujijui utakuwa unausambaza kwa wengine na hivyo kuzidi kuliletea mzigo taifa.
Nchi yetu haina uwezo wa kugharimia matibabu kwa wananchi wake. Mpaka sasa kwa baadhi ya hospital kuna tatizo kubwa sana la upungufu wa second line ARVs. Kuna kituo kimoja ilibidi clients wanaotumia second lines kama atz/r na truvada kuhamishiwa kwenye vituo vingine ili wakapate dawa zao. Sasa wananchi tuwe makini. Tuendelee kuelimisha jamii yetu inayotuzunguka.
 
Bro/Sister...kama hutojali ungebadilisha username yako,kama nimeelewa ulichokipost hapa na kweli umemaanisha usijiite Mtengwa jiite angalao Mpendwa Id unayotumia inaakisi ni kama kuna watu wanakutenga na ukijiita hivi kweli utatengwa.pole sana.
Usipaniki brooo....

mtengwa kwa maana ya member wa WATENGWA FAMILY R CHUGGA....AU MTU AJIITE MWEUSI KWA MAANA YA MEMBERCWA WEUSI USA RIVER CAMP SOLJAZ....AU AJIITE MSAFI KWA MAANA YA WASAFI CLADSIC BEIBEEEE....

National umeelewa na hakuna haha ya mtengwa kubadili user name.
 
Huyo msichana kama amepitia hapa, ukienda anapoishi humkuti, keshahama na sidhani kama utampata kwenye simu tena.
 
Napata majibu wadau, yamkini hata mm yamenikuta ila sikuelewa maana yake nini.
Kumbe wanawake waelewa sana ktk suala hilo yaan wakigundulika hawapendi kuambukiza kwa kusudia.
Leo nisiku yangu ya funzo toka kwa mtoa uzi na wachangiaji.
Nilishawai ngombana usiku wa manene alafu ni pembezon mwa mji kiasikwamba hakuna hata duka jirani la kuuza dom labda upande boda kwa 15,000/- kufuata ndom ya jero.
nilizani nabaniwa kumbe ananiepusha na UBUYU masikini ya Mungu.
Pole kwa yaliyo kufika ndg.
 
Yawezekana wanaokufa kwa fangas kwenye ubongo wengi ni HIV +ve?
 
Wanawake wana huruma. Pia huwa wanaelewa sana semina wanazopewa wakiwa CTC kuwa unapogegedana na kila mtu kuna chance kubwa sana ya kugegedwa na MTU mwenye virusi aina zingine ambazo ni hatari zaidi. Kuna mama mmoja hajaolewa ila anaishi na vvu na yuko single. Huyu mama huwezi kumgegeda bila condom hata kama na wewe una ukimwi.
 
Ukumbuke fungus ni parasite anategemea mwili wa host, kama una kinga nzuri CD4 wanaweza kuwapiga lakini upungufu wa kinga ukishajitokeza wanatawala mwili. Pili parasite hawa wanapenda sukari kama una diabetes watakupenda.
kumbe kisukari cha weza pelekea pata fungus?
 
Kuna kipindi kabla sijaona na kabla sijapata taaluma yangu,nilipenda sana kugegedana bila kondomu. Niligegeda mke wa MTU ambaye aliniaminisha kuwa yupo single kumbe kaolewa na alikuwa na ngoma. BAHATI nzuri sana aliniacha salama. Lakini yote na yote wanaume tunazingua sana. Tukiambiwa na wanawake tuvae kondom tunajifanya wajanja kumbe tunapalilia ngoma. Twafaaaa. Tuacheni haya mambo. Baki na mmoja. Tamaa mbaya
 
Daah Kweli mkuu,mi pia mtu wa kavu sana, japo wadada wanasisitiza uvaaji ila ubish mwingi,mmenifungua macho.
 

Mie natumia style ya Jacob zuma ya kunawa fastaaaa nzuriii sana hiii
 
Mie natumia style ya Jacob zuma ya kunawa fastaaaa nzuriii sana hiii
Hahahah. Mbavu zangu mkuu. Kumbuka kuna watu kinga ya mwili imeshuka sana kutokana either na dawa kushindwa kazi au uzembe wa kumeza dawa,hivo chance ya kupata ngoma inaongezeka hata kama umenawa faster. Cha msingi tumia kinga na usipende michepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…