Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Wewe ungekua unafanya kaz hospital na ukawa kitengo cha upimaji bas ungeacha kuzini maana binafsi hua wengin nawashangaa kua hata huyu anao yaan nabak sina neno
Kuna watu wanatumia pesa nyingi sana kufanya visherehe uchwara. Bora hizo pesa wangekuwa wakizitumia kwa kutembelea wodi za wagonjwa hasa wanaoishi na vvu. Hakika watajifunza mengi sana.
 
Kwa lecture niliyopewa leo nimepewa tips za kuweza kufanya naye mapenzi kwa kutumia condom au bila condom hila hii ya kavu sito itumia pia jinsi ya kuishi naye adi siku atakayo gundua me najua kuwa yeye nimuathirika nimesisitiziwa sana juu ya mahusiono yetu na nimepewa adi stori ya kupiga naye kabla ya tendo daah Madoctor ni shidaah kesho naenda nae movies au beach
Naona unapewa hongera kwa uamuzi huu ila shetani unamjua vizuri wewe ? Abdalah kichwa wazi akisimama hata muda wa kuwaza hizo tips sijui za namna ya kufanya na mgonjwa hutakuwa nao

Chezea sharubu tu za babu ....
 
74fa24028ca427c08474ecddb8efd664.jpg
 
Naona unapewa hongera kwa uamuzi huu ila shetani unamjua vizuri wewe ? Abdalah kichwa wazi akisimama hata muda wa kuwaza hizo tips sijui za namna ya kufanya na mgonjwa hutakuwa nao

Chezea sharubu tu za babu ....
habari za leo
 
Hahahah. Mbavu zangu mkuu. Kumbuka kuna watu kinga ya mwili imeshuka sana kutokana either na dawa kushindwa kazi au uzembe wa kumeza dawa,hivo chance ya kupata ngoma inaongezeka hata kama umenawa faster. Cha msingi tumia kinga na usipende michepuko.
Mkuu ebu sijaelewa kunawa fasta kivipi yani ....naomba nijibu tafadhali
 
Mmmmh jamn hili gonjwa linatisha ukimwi upo kama huamin tembelea mahospital ujionee tutulizane mwenyezi Mungu atuepushe na janga hili hatar amin
 
Back
Top Bottom