PEP iliniokoa sitasahauKama umekutana na demu anayetumia hivyo mmeshiriki bila condom ,na bado masaa 72 hayajaisha ukiwa hospital utapata PEP (Post Exposure Prophylaxis) na utakuwa salama ...Asante
hivi unaweza weka sukari kwenye chai bila kukoroga ukinywa chai utaona aina sukari ivyo ni mapema sana kusema ni + or - ndio maana doktar amekupa kipimo anajua uwezekano wa kuwa + ni mkubwa pima baada ya miezi mitatu nakushauri usifanye sex utaua watoto wa watuNime lazimisha kupima kaniambia aina ila kunitoa wasi wasi kanipima na hii kitu na nyingine kanipa yani majibu hapo hapoView attachment 489902
Ohooo, tayari mwanoNaomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin View attachment 489846View attachment 489847
Babu ulitaka vunja amri ya...nini?Thanks mkuu can't believe it
Hujasoma comment Moja hadi nyingine. Story IPO. Kaiweka katika parts 3Nimejaribu kupitia uzi wote ili nione km alisimulia kisa cha huu mkasa, lkn sikuona, sasa sijui ana hali gani huko aliko mpk ameshindwa kutimiza ahad ya kuelezea kilicho msibu
Nenda kwenye jukwa la siasa utakutana na EALAHuu uzi bado tu? Tungemmpa pole mshikaji tuendelee na EALA
Which is very much okay. As JF ina ma dk. Manesi. Wauguzaji hata watumiaji. Kwa hiyo ni vema tumepata elimu. Kwani mtu mwenye virusi hapaswi kuficha bali atumie protective tools hata km wote ni infected.The way unavyowaongelea bas watakuwa na experience sana na hizi mambo
Yataka moyo ujue!Nimegundua mleta mada ni mfanyakazi wa Shigongo.
Kwa utafiti wa hivi karibuni kama anakunywa kwa usahihi na tendo likaaandaliwa vizuri bila michubuko upon uwezekano wa kutokuambukizwa kwa asilimia KubwaHivyo mtu anaetumia vidonge vya ARV hawez kumuambukiza mtu napenda kujua hili somo
Ndio ujue huu ugonjwa umekaa kisanii sana uongo mwingi kuliko ukweliKuna dada yangu ameathirika, ametumia ARV toka 2007 na anafuata masharti vizuri sana. Mumewe alifariki yeye alishindwa kukubaliana na matokeo, hajaolewa hadi sasa ila mpenzi anae lkn ye condom anaziombaga hospital wanampaga box zima. Na akitoka na mpnz wake anabeba kwenye pochi condom zake. Kwa kweli anajijali sana, hata hosp huwa wanamtumia km role model kwa wagonjwa ambao wanatumia ARV lkn afya zao bado hazijaimarika.
Toka mwaka juzi mwanzoni, CD4 zake zilikuwa juu sana, wakamwachishia ARV lkn clinic km kawaida, baadae wakamwambia aende kila baada ya miezi 2 clinic akawa anafanya hivyo, baadae wakachukulia damu na wenzie wengine walioteuliwa ikapelekwa muhimbili kwa vipimo. Majibu yakaonesha kwenye mzunguko wa damu hamna virus, wameambiwa watapimwa tena baada ya miezi sita. Lkn hadi sasa hanywi dawa lkn clinic anahudhuria na ameambiwa akihisi kuumwa chochote awahi haraka hospital. Kwa hiyo ye hata akiumwa mafua anakwenda CTC. Hivi baadae haiwezi kumletea shida hivyo anavyokaa muda bila kunywa dawa, ingawa ni kwa maelekezo ya madaktari na CD4 zake hadi leo ziko juu sana
ukimwi unatibika n unapona kabisa kwa mchanganyiko wa aloevera kitunguu swaumu tangawizi karot na nk kuna formula ya kuandaaKuna dada yangu ameathirika, ametumia ARV toka 2007 na anafuata masharti vizuri sana. Mumewe alifariki yeye alishindwa kukubaliana na matokeo, hajaolewa hadi sasa ila mpenzi anae lkn ye condom anaziombaga hospital wanampaga box zima. Na akitoka na mpnz wake anabeba kwenye pochi condom zake. Kwa kweli anajijali sana, hata hosp huwa wanamtumia km role model kwa wagonjwa ambao wanatumia ARV lkn afya zao bado hazijaimarika.
Toka mwaka juzi mwanzoni, CD4 zake zilikuwa juu sana, wakamwachishia ARV lkn clinic km kawaida, baadae wakamwambia aende kila baada ya miezi 2 clinic akawa anafanya hivyo, baadae wakachukulia damu na wenzie wengine walioteuliwa ikapelekwa muhimbili kwa vipimo. Majibu yakaonesha kwenye mzunguko wa damu hamna virus, wameambiwa watapimwa tena baada ya miezi sita. Lkn hadi sasa hanywi dawa lkn clinic anahudhuria na ameambiwa akihisi kuumwa chochote awahi haraka hospital. Kwa hiyo ye hata akiumwa mafua anakwenda CTC. Hivi baadae haiwezi kumletea shida hivyo anavyokaa muda bila kunywa dawa, ingawa ni kwa maelekezo ya madaktari na CD4 zake hadi leo ziko juu sana
Mkuu nivema ungeweka hizo fomula hapa kwani humu jf wagonjwa ni wengi toa ilo somo watu wakuelewe utakuwa umewassidia wengi.ukimwi unatibika n unapona kabisa kwa mchanganyiko wa aloevera kitunguu swaumu tangawizi karot na nk kuna formula ya kuandaa
Sio.....Daaah ni stori ndefu nipeni jibu kwanza la uhakika vyenyewe
Tupe formula hiyo mana familia zetu, majirani zetu, marafiki zetu wanaugua kila kukicha. Hakuna familia haijaguswa na hili jangaukimwi unatibika n unapona kabisa kwa mchanganyiko wa aloevera kitunguu swaumu tangawizi karot na nk kuna formula ya kuandaa
Aisee kweli yani hauelewekiNdio ujue huu ugonjwa umekaa kisanii sana uongo mwingi kuliko ukweli