Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Kama umekutana na demu anayetumia hivyo mmeshiriki bila condom ,na bado masaa 72 hayajaisha ukiwa hospital utapata PEP (Post Exposure Prophylaxis) na utakuwa salama ...Asante

PEP siku hizi ipo recommended kwa wanaoshiriki ngono zembe?
 
Huu uzi umenikumbusha majanga yang mwez uliopta kiwembe kilinikata bahat mbaya kilikuwa ktandan alaf mda huo alikuwa ametoka kukitumia mdada wetu wa kaz kujinyolea kwapan zmepta cku 6 nashika pochi yake nakuta ARV cna Aman wala furaha mpak nitakapopma haya maisha jaman ni kumuomba tu Mungu cku hyo nmemkuta na hz Dawa ctokaa nisahau sikula cku 4 nalia tu nmemuomba Mungu sahv na unafuu hofu imepungua
 
Daaah ni stori ndefu nipeni jibu kwanza la uhakika vyenyewe
Pole kamanda nami yalinikuta enzi hizo nakaa flat za shekilango pale nikapata mtoto mkali mazese toto totokweli sasa nikawa namfata kwao mazese mtaa mzima watu wanatoa macho naona kweli nina kifaa nikawa nagonga sana wakati mwingine mtoto napiga kavu gesti tuliokua tunakunywa na kupiga game muhudumu wa chumba akanielewa maana nilikua nahonga si kitoto sasa nikifika nakula mhudumu anatandika mashuka upya ndio anakuja dem ndio napiga cha pili sasa kilicho kua kinashangaza muhudumu alikua makini ndomu anaikagua kila md niki push hata mara anachoma nakuangalia kama haijatoboka kumbe anajua demu kaungua sasa nikapata safali ya kwenda mkoa kwa md kama wa miezi sita kurudi nikaa kama week nikaenda kwao naambia anaumwa nikakomaa dem kagoma kutoka ndani nikawambi nataka nimpe hela ya matumizi isee kakubali kutoka nilitaka kuzimia demu kabaki mifupa tu sikuweza hata kuongea nae nika ondoka wapangaji myumba mzima wananiangalia nikajua kashaniua huyu siku rudi mtaa ule kama miaka sita nikapita bar siku moja nikakuta meneja was bar yule yule ndo akanipa story yule demu kaua watu wengi baadae nikaja kupima nikakutwa poa maana tulikua tukichukua room hakuna kulala demi alikufa mwezi huo niliokua nine enda kumuona
 

Pole sana mkuu utakua umeupata kizembe sana bora hata ungegawa papuchi.....hebu njoo PM kuna jambo nataka kukueleza
 
Kapimee mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…