Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Unamtia moyo eehSio.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtia moyo eehSio.....
Wewe waonaje binamu....?Unamtia moyo eeh
Hizo ni zenyewe binamuWewe waonaje binamu....?
PoaHizo ni zenyewe binamu
Kama umekutana na demu anayetumia hivyo mmeshiriki bila condom ,na bado masaa 72 hayajaisha ukiwa hospital utapata PEP (Post Exposure Prophylaxis) na utakuwa salama ...Asante
Mkuu umenivunja mbavu, haaa,haaaa...jamaa alipagawa jamani.Kweli nyapu tamu,ulifata ndom Mwenge?[emoji23][emoji23][emoji23]
tena anayeishi SinzaInatosha mkuu kwanza wachunguzi wakifuatiali dada Mwarusha, mweupe aliyeajiriwa Vodacom juzi basi tuishie hapo.
Hatari Sana. Nikifikiria ukimwi upo.natamanigi niokoke milele. Mungu tuepushe
Dada nakushauri tu ufunge inbox yako.
Hongera kwa kuwa mwaminifuTuoane basi mi mwaminifu
Hongera kwa kuwa mwaminifu
Pole kamanda nami yalinikuta enzi hizo nakaa flat za shekilango pale nikapata mtoto mkali mazese toto totokweli sasa nikawa namfata kwao mazese mtaa mzima watu wanatoa macho naona kweli nina kifaa nikawa nagonga sana wakati mwingine mtoto napiga kavu gesti tuliokua tunakunywa na kupiga game muhudumu wa chumba akanielewa maana nilikua nahonga si kitoto sasa nikifika nakula mhudumu anatandika mashuka upya ndio anakuja dem ndio napiga cha pili sasa kilicho kua kinashangaza muhudumu alikua makini ndomu anaikagua kila md niki push hata mara anachoma nakuangalia kama haijatoboka kumbe anajua demu kaungua sasa nikapata safali ya kwenda mkoa kwa md kama wa miezi sita kurudi nikaa kama week nikaenda kwao naambia anaumwa nikakomaa dem kagoma kutoka ndani nikawambi nataka nimpe hela ya matumizi isee kakubali kutoka nilitaka kuzimia demu kabaki mifupa tu sikuweza hata kuongea nae nika ondoka wapangaji myumba mzima wananiangalia nikajua kashaniua huyu siku rudi mtaa ule kama miaka sita nikapita bar siku moja nikakuta meneja was bar yule yule ndo akanipa story yule demu kaua watu wengi baadae nikaja kupima nikakutwa poa maana tulikua tukichukua room hakuna kulala demi alikufa mwezi huo niliokua nine enda kumuonaDaaah ni stori ndefu nipeni jibu kwanza la uhakika vyenyewe
Huu uzi umenikumbusha majanga yang mwez uliopta kiwembe kilinikata bahat mbaya kilikuwa ktandan alaf mda huo alikuwa ametoka kukitumia mdada wetu wa kaz kujinyolea kwapan zmepta cku 6 nashika pochi yake nakuta ARV cna Aman wala furaha mpak nitakapopma haya maisha jaman ni kumuomba tu Mungu cku hyo nmemkuta na hz Dawa ctokaa nisahau sikula cku 4 nalia tu nmemuomba Mungu sahv na unafuu hofu imepungua
Kapimee mkuuuNaomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin View attachment 489846
======
Ni hivi, huyu dada anakaa Arusha, nilikutanaga naye kwenye semina moja hivi tukabadilishana contact kiukweli nilitokea kumpenda sana huyu cos ni mzuri sana yani mzurii natamani hata niweke picha zake but nimeona sio poa kisuuu yani white ana kashepu flan hivi hatari huo mdomo sasa yani ni mzuri kiukweli.
sasa baada ya mimi kumtongoza ilimchukua mda sana kunielewa kidogo nikate tamaa but mwisho wa siku alinikubalia mapenzi yakaanza kwa phone yupo Arusha nipo Dsm yeye alisomea marketing na alikua anatafuta kazi nikajitoa muhanga mzee kusaka ajira kwa ajili ya mrembo.
Ndugu yangu mmoja upande wa mama yangu yupo pale voda, Mama yangu ndio aliniambia nikamuone kwa kisingizio mimi ndio nataka kazi, bwana nikaenda nikachonga nae nikamueleza ukweli kwamba sio mimi ni mke wangu mtarajiwa ndio anataka kazi akaniambia nitege siku flani atume CV, kweli bwana mwisho wa siku akatuma CV.
Mungu Mkubwa aisee pamoja na juhudi za yule mother angu akapangiwa interview atabidi sasa aje town kweli kafika Dar akafikia kwa shangazi yake Kino siku ya interview akaenda pale akapass safii tuuuh yani daaah nilifurahi kupita maelezo na yeye pia baada ya miezi mitatu akapanga Sinza.
Hapo kila nikikutana naye kwenye maswala ya mapenzi ni ugomvi mkubwa sana huwezi amin miezi 5 yote kidume nakula kalenda tuuh tuuh hiyo siku nilienda kwake nusu tupigane, eti yupo kwenye siku zake za hatari na nilimwambia kuwa nitakuja kulala huko leo , vurugana sana yani nilikula mateke ayoo akaniambia eti nifuate condom saa 6 usiku daah nitaenda duka gani. Nikaenda geto kwangu Mwenge kuchukua ndom na kurud usiku ule ule.
Nilifanikiwa kula mzigo without those hot kiss cos alikua anakwepa nikala mzigo kibishi tuuuh mzeee mpaka mornie mwenzangu hakuwa anaonyesha kuridhika sijui sababu nilimforce sawa nikachukulia kawaida.
Sasa zile kurupushani za usiku mpaka vitu vingi kuanguka chini yani vilikua shaghala bagala, akaenda kuoga na mimi nianze kutafuta boxer yangu sijui imeanguka upande gani ndio kukutana na hizo kama nane hivi zipo chini.
Mmhhh kwa sikushtuka ila nikahisi kitu nikasema ngoja nichukue kimoja nikaweka kwenye mfuko, leo hiyoo nikaenda muuliza mwanangu yeye kashaumwaga karibu magonjwa mengi sana nikamuulize ebwana unavijua hivi babu, akaniambia eti vitakua vya kuongeza damu hivi nishatumiaga sema vidogo vyake hivi vikubwa sana.
Kuna mwana mwingine akandandia ARV hivyooo wewe nishaviona sehemu Moyo ukafanya paah aisee niliishiwa nguvu baadae akaniambia ila sina uhakika ndio mimi kuna hapa JF ila yule mwanamke hajui chochote.