Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Jamanii, hivi walosema usimchunguze sana bata hutomla mliwaona wapuuzi eeeh!???haya pekenyu pekenyu umekutana navyoo Iooooh mtakutana na mabom cku yake mfe.
Mmh
 
Jamani ukimwi Upo aupimwi kwa macho ata kidogo aiseee msimuamin mtu ata awe mzuri vip cos nikiwadondoshea picha hapa akuna atakaye Amini japo siwezi kuweka picha
Sitoshangaa ukisema na Daslam unaye mpenzi kabisa ila ulikuwa unahamishia nguvu kwa bidada wa arusha.
 
Unapokunywa dawa na wadudu wanaisha kwenye mzunguko wa damu ila wanabaki wamejificha kwenye chembe (cells) zenye kinga ya mwili ambako ARV haiwezi kufika. Ukiacha kutumia dawa wanarudi tena kwenye mzunguko wa damu na kuanza mashambulizi upya.
Duh!basi hyo jamaa atakuwa ni zaidi ya wale wabeba mabomu wa al qaeda
 
Asifanye hivyo. Amlindie heshima yake. Alilazimisha game mwenyewe bila kwenda kupima.asije akamuua dada wa watu kabla ya siku zake kutimia.
Unajua tatizo jamaa amemsifia kupita maelezo,kwamba she is very hot,ndo mana nikamwambia hata picha ya miguu tu,
 
Jamani ukimwi Upo aupimwi kwa macho ata kidogo aiseee msimuamin mtu ata awe mzuri vip cos nikiwadondoshea picha hapa akuna atakaye Amini japo siwezi kuweka picha
Nirushie pm picha ya mdada mkuu.
 
Mkuuu pole sana, CASE yako inataka fanana flani na tukio lililo nitokea kipindi cha nyuma. Ingawa mazingira tofauti kidogo.

Nakumbuka way back nilikuwa nasoma shule moja ya boys, tulikuwa tukikaaa kota , kama hujuavyo kota kuna mchanganyiko wa watu wengi.

Pale kuna dada mmoja niliwahi toka nae mara kadhaaa, sasa akaja sist wake toka huko alikotoka.

Yule sist alikuwa mzuri sana, ila hakuwa anasoma wala nini. Aliishia Darasa la saba, aliletwa pale ajiendeleze kibiashara, ulikuwa ukimtongoza tu kutokana na maadili yao huko anakukwepa hatari.

Ila kama hujuavyo hata simba na ukali wake bado analiwa mzigo. Sijui nini kilimsibu akaanza gawa pale kota kwa wazeee kama watatu hivi, na wao wazee walikuwa HIV+ inajulikana kwa wenyeji wa pale na wafanyakazi wenzao, Hakuna siri

Wazee walikahonga kadada kale wakawa tafuna, sasa kuna kipindi nilikutana nacho nikawa nampanga panga, namchezea akija home , till kuna siku tulaelewana usiku mida baada ya usiku.


Sasa bwana, siku hiyo kama TANESCO walijua, umeme ulikata nikawa nimekaa chemba moja nje (kijiweni tu ).

Yule binti alitoka kununua mishumaaa, ilikuwa kama saa Tatu usiku, daah nika mtaiti, shika shika kiuno, akasema acha haraka uta unguza picha ngoja nipeleke mishumaaa ,kisha nioge then nakuja au UNATAKA KULA VICHAFU???

Bandugu, kumbe nyuma yangu alikuwa anapita mshua ( alivunga ). Kufika ndani tu, katumwa dogo aje niita, nazama ndani , naona kalabai imewaka vema, naonekana vizuri kabisa.

Yupo mshua, maza na broo. Mzeee alichosema haya ongeeni na ndugu yenu huyo, anaambiwa akaoshewe ili ale visafi, dingi hakuwahi zingua hata siku moja hizo ishu lakini that day alitoa intro nzuri, takatifu
Maza akakazia nika kabidhiwa kwa bro ndio akanichana vingi sana.

Ebwana nilkuwa mpole kama nimefumaniwa, ile kutoka nje, baada ya mazungumzo yale, nikasepa geto, lilikuwa geto la nje na share na broo.

Daah yule demu akaja kugonga, bro akaniulza nani huyo, nika mjibu yule demu.

Bro mwenyewe hakuwaa aged kivile about 5years older,

Sikuamini alicho fanya, kaniuliza unajua kutumia ndom nikasema ndio. Akanipa SALAMA enzi hizo walipewa na FEMINA.

Nikaenda nyooosha goti kwa tahadhari sana.........


KITU AMBACHO NIKIKUMBUKA NAJIONA MJINGA, NILIKUWA NACHEZA KAMALI AISEEEE
 
Back
Top Bottom