Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kweli nyapu tamu,ulifata ndom Mwenge?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkishajua mnapendwa tu,bas shida inaanzia hapo,na kipaumbele chenu pesaAs if tunawatongoza.
ilo jina lako vipi [emoji3] [emoji1] [emoji1]Msalaaa skuizi hawaiti ARV wanaita ubuyu huo ubuyu kabisa ndowenyewe live bila chenga
Acha kumrusha rohoNasikiaga kuwa usiku kama huu VVU huwa vinasinzia, unaweza kupewa majibu ambayo sio ya kweli.
Yani ulivyo shangaa utadhani hamjijui,au umetoka sayari nyingineHe.kumbe kivip sasa.
Maaana hawa viumbe, unakuta mwanaume mmoja anamichepuko 9 wa10 wife. Kila mkoa anae mchepukoUmewaza mbali mkuu.
Nimecheka sana aisee.Usikute umeleta demu afu umepiga kavu, kaenda kuoga umesearch kwa bag yake ukakutana navyo
Hapo ndipo utakapojua maana ya neno love
Ukijua utafanyaje sasa na ndo ishakuwaNaomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin View attachment 489846View attachment 489847
Ndiokweli dada mstaarabu sana. amtunzie utu wake
U mean haupo mkuu,ukifkilia hvyo raha sanaUkimwi ni Mindset disease-No more
Ni PM mimi hiyo picha na contacts-wengine hatuamini hayo mambo ya UkimwiJamani ukimwi Upo aupimwi kwa macho ata kidogo aiseee msimuamin mtu ata awe mzuri vip cos nikiwadondoshea picha hapa akuna atakaye Amini japo siwezi kuweka picha
Wewe jamaa ni hayawani aseMkuuu pole sana, CASE yako inataka fanana flani na tukio lililo nitokea kipindi cha nyuma. Ingawa mazingira tofauti kidogo.
Nakumbuka way back nilikuwa nasoma shule moja ya boys, tulikuwa tukikaaa kota , kama hujuavyo kota kuna mchanganyiko wa watu wengi.
Pale kuna dada mmoja niliwahi toka nae mara kadhaaa, sasa akaja sist wake toka huko alikotoka.
Yule sist alikuwa mzuri sana, ila hakuwa anasoma wala nini. Aliishia Darasa la saba, aliletwa pale ajiendeleze kibiashara, ulikuwa ukimtongoza tu kutokana na maadili yao huko anakukwepa hatari.
Ila kama hujuavyo hata simba na ukali wake bado analiwa mzigo. Sijui nini kilimsibu akaanza gawa pale kota kwa wazeee kama watatu hivi, na wao wazee walikuwa HIV+ inajulikana kwa wenyeji wa pale na wafanyakazi wenzao, Hakuna siri
Wazee walikahonga kadada kale wakawa tafuna, sasa kuna kipindi nilikutana nacho nikawa nampanga panga, namchezea akija home , till kuna siku tulaelewana usiku mida baada ya usiku.
Sasa bwana, siku hiyo kama TANESCO walijua, umeme ulikata nikawa nimekaa chemba moja nje (kijiweni tu ).
Yule binti alitoka kununua mishumaaa, ilikuwa kama saa Tatu usiku, daah nika mtaiti, shika shika kiuno, akasema acha haraka uta unguza picha ngoja nipeleke mishumaaa ,kisha nioge then nakuja au UNATAKA KULA VICHAFU???
Bandugu, kumbe nyuma yangu alikuwa anapita mshua ( alivunga ). Kufika ndani tu, katumwa dogo aje niita, nazama ndani , naona kalabai imewaka vema, naonekana vizuri kabisa.
Yupo mshua, maza na broo. Mzeee alichosema haya ongeeni na ndugu yenu huyo, anaambiwa akaoshewe ili ale visafi, dingi hakuwahi zingua hata siku moja hizo ishu lakini that day alitoa intro nzuri, takatifu
Maza akakazia nika kabidhiwa kwa bro ndio akanichana vingi sana.
Ebwana nilkuwa mpole kama nimefumaniwa, ile kutoka nje, baada ya mazungumzo yale, nikasepa geto, lilikuwa geto la nje na share na broo.
Daah yule demu akaja kugonga, bro akaniulza nani huyo, nika mjibu yule demu.
Bro mwenyewe hakuwaa aged kivile about 5years older,
Sikuamini alicho fanya, kaniuliza unajua kutumia ndom nikasema ndio. Akanipa SALAMA enzi hizo walipewa na FEMINA.
Nikaenda nyooosha goti kwa tahadhari sana.........
KITU AMBACHO NIKIKUMBUKA NAJIONA MJINGA, NILIKUWA NACHEZA KAMALI AISEEEE
Sidhani kama kamanisha hcho. Au pengne mie sijamuelewa kamaanisha nni.U mean haupo mkuu,ukifkilia hvyo raha sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] ........Ndy tunaelekea mochwari muda huu, ahsanteni kwa ufafanuzi
Mme zidi.Kama kuna manaume kapitia hapa %60 ,watakuwa wamejifunza kitu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa si bora tujijue mapema ili tusiwagawie na wengine,na pia usikute kuna mtu humu anamfkuzia,mwisho wa siku yanampata
Umemuelewaje mkuu??Sidhani kama kamanisha hcho. Au pengne mie sijamuelewa kamaanisha nni.