Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Ila mi Nina ushauri kwa mleta mada. Wewe kidume,kidume hupaswi kukimbia tatizo. Hebu mface huyo Dada then mwambie umeona kitu hiko katika mazingira hayo Hapo kwake. Ni vya nini yeye akupe manibu while you have eyes contact and facial expression. Be polite kama utaitumia hii
AKimwambia ni kweli yy ni muayhirika,lazima chozi limtoke mdau
 
Ni pale unapokuwa na kiburi,hutaki kusikiliza maelekezo ya mmeo, rafiki zako wanakupeleka kwenye makundi mabaya, hutaki kuona ndugu wa mme, mmeo akikuelekeza kitu hutaki kujishusha unambishia,unataka kuchukua nafasi ya kiongozi wa familia,ujuajijuaji
Ukiweza hayo, unaweza kuwa mke halali
Vigezo vyote ninavyo ila sidhani Kama ntakuwa ...malizia mwenyewe
 
AKimwambia ni kweli yy ni muayhirika,lazima chozi limtoke mdau
Ni vema ukajua ukweli. Kuliko kuwa na mashaka moyoni. Machozi how many times ushayatoa???u put pride on machozi??? Hapana mkuu
 
Huu uzi umenikumbusha mbalii!!! Kiuna siku niko na bae... Tumemaliza mechi nikanyanyuka na kwenda kabatini nikameza kidonge kimoja cha cipro... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkaka wa watu aliruka toka kitandani kama ndama, jasho lilimtoka akaja nipana mkono nimuoneshe nimemeza dawa gani, ata nilivomwambia hakuniamini mpaka akajionea mwenyewe !!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana mleta mada.. mimi nimewah kuvikuta hivyoo kwenye mkoba wa rafiki yangu alinipa, nahisi alikua amevisahau. Nilikosa hata nguvu ya kumrudishia, sikutaka ajue nimeviona ikabidi nivitupe na vilikua kama 10 ivi.. nasikitika kumharibia dozi ila ni bora kuliko angejua nimejua yeye ni muathirika
 
Ni vema ukajua ukweli. Kuliko kuwa na mashaka moyoni. Machozi how many times ushayatoa???u put pride on machozi??? Hapana mkuu
Ni kweli,ila kabla hajaenda kumona asali kwanza na afunge hata siku mbili tu,
 
Back
Top Bottom