Msaada: Hizi kozi zilizotajwa kutumika kama equivalent entry qualification kwenye TCU guidebook ya mwaka 2019 kurudi nyuma ni kozi gani hizo?

Kioski

Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
93
Reaction score
106
Salaam.....

Naomba kujua kozi zilizotajwa kwa jina la BSc (lower second) majoring in Physics/Mathematics,
Chemistry, Biology /Zoology.
kwenye TCU guidebook ya mwaka 2019 kurudi nyuma kuwa ziliweza kutumika kama equivalent qualification kusoma degree yeyote ya afya yaani medicine, pharmacy nk. Ni kozi gani izo zinazozungumziwa hapo ?

 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…