Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Ngoja tuone
Picha iko wapi tumchunguze vzr au nipe namba yakeMara ya mwisho kukutana na binti huyu ni siku yake ya kumi toka ameanza kubleed. Je, dalili hizi kwake inaweza kuwa ni ujauzito? chuchu kuuma, mwili kukosa nguvu,kupoteza hamu ya kula pamoja na kichefuchefu
Nakutumia mkuu hapahapa au pmPicha iko wapi tumchunguze vzr au nipe namba yake
Kipimo cha mimba kinauzwa duka la dawa Shilingi 1,000 tu. Nenda kanunue umpime.Mara ya mwisho kukutana na binti huyu ni siku yake ya kumi toka ameanza kubleed. Je, dalili hizi kwake inaweza kuwa ni ujauzito? chuchu kuuma, mwili kukosa nguvu,kupoteza hamu ya kula pamoja na kichefuchefu
Habari,Mara ya mwisho kukutana na binti huyu ni siku yake ya kumi toka ameanza kubleed. Je, dalili hizi kwake inaweza kuwa ni ujauzito? chuchu kuuma, mwili kukosa nguvu,kupoteza hamu ya kula pamoja na kichefuchefu
Shukrani mkuuHabari,
Ni sehemu ya dalili za mama au dada mjamzito ingawa si specific. ungekuwa unafahamu urefu wa mzunguko/cycle lenght, ungeukaribia sana ukweli wa kinachoendelela.
We mdanganye sasaKama ni siku ya 10 tangu dot hakuna kitu hapo sio yako mkuu