Msaada: Hizi ni dalili za ujauzito?

Msaada: Hizi ni dalili za ujauzito?

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
2,348
Reaction score
5,841
Mara ya mwisho kukutana na binti huyu ni siku yake ya kumi toka ameanza kubleed. Je, dalili hizi kwake inaweza kuwa ni ujauzito? chuchu kuuma, mwili kukosa nguvu,kupoteza hamu ya kula pamoja na kichefuchefu
 
Picha iko wapi tumchunguze vzr au nipe namba yake
 
Mara ya mwisho kukutana na binti huyu ni siku yake ya kumi toka ameanza kubleed. Je, dalili hizi kwake inaweza kuwa ni ujauzito? chuchu kuuma, mwili kukosa nguvu,kupoteza hamu ya kula pamoja na kichefuchefu
Kipimo cha mimba kinauzwa duka la dawa Shilingi 1,000 tu. Nenda kanunue umpime.
 
Mara ya mwisho kukutana na binti huyu ni siku yake ya kumi toka ameanza kubleed. Je, dalili hizi kwake inaweza kuwa ni ujauzito? chuchu kuuma, mwili kukosa nguvu,kupoteza hamu ya kula pamoja na kichefuchefu
Habari,
Ni sehemu ya dalili za mama au dada mjamzito ingawa si specific. ungekuwa unafahamu urefu wa mzunguko/cycle lenght, ungeukaribia sana ukweli wa kinachoendelela.
 
Kama ni siku ya 10 tangu dot hakuna kitu hapo sio yako mkuu
 
Habari,
Ni sehemu ya dalili za mama au dada mjamzito ingawa si specific. ungekuwa unafahamu urefu wa mzunguko/cycle lenght, ungeukaribia sana ukweli wa kinachoendelela.
Shukrani mkuu
 
Siku ya 10 after period Mzee Hio imo wala Haina pingamizi
 
Back
Top Bottom