Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
NdioWeee ndio Abdul ????
Asante kwa ushauri mkuuHio tunaita post traumatic stress.
Pole sana mkuu
Ila nakushauri usije ukajidanganya kuanza kumeza vidonge vya anxiety au vya amnesia utaishia kuwa mraibu.
Jaribu vitu vipya, mazoezi, nenda sehemu mpya kupata exposure mpya, shirikiana na marafiki.
Mtt wa mama samiaaa???Ndio
Una umri gani? Wewe ni mwanamke au mwanaume? Umeoa/kuolewa? Unafamilia (watoto n. K)?Habari zenu tafadhali husika na iyo mada hofu imenitawala sana kiasi ambacho ata usingizi wangu unakuwa wa tabu sana ikitokea nimeshtuka saa 7 usiku nahangaika sana kupata usingizi naomba kueleweshwa hili tatizo nafaa kwenda hosptal?NB:nilimpoteza kakangu mwaka ulopita hivyo ulivyoingia mwaka huu ilipofika fika ile tarehe ndio hii hofu ikazidi kunitawala,naomba msaada wenu
Sawa mkuu ntafalifanyia kazifanya kitu ambacho unakipenda kama ni mpira angalia sn kama n n movie cheki sn pia fanya mazoezi ya kutosha kupunguza hormone kichwani ya kuwaza hayo mambo utakuwa poa tu
Kwani kila abdull ni mtoto wa mama samia?Mtt wa mama samiaaa???
Mm mwanamme nimeowa kama miezi 7 nyumaUna umri gani? Wewe ni mwanamke au mwanaume? Umeoa/kuolewa? Unafamilia (watoto n. K)?
Naulizaaa tuKwani kila abdull ni mtoto wa mama samia?
Umri 27Una umri gani? Wewe ni mwanamke au mwanaume? Umeoa/kuolewa? Unafamilia (watoto n. K)?
Jibu ni hapanaNaulizaaa tu
Fanya hivi:Habari zenu tafadhali husika na iyo mada hofu imenitawala sana kiasi ambacho ata usingizi wangu unakuwa wa tabu sana ikitokea nimeshtuka saa 7 usiku nahangaika sana kupata usingizi naomba kueleweshwa hili tatizo nafaa kwenda hosptal?NB:nilimpoteza kakangu mwaka ulopita hivyo ulivyoingia mwaka huu ilipofika fika ile tarehe ndio hii hofu ikazidi kunitawala,naomba msaada wenu
Nitaomba sana mkuu ahsante kwa ushauriSaa 7 usiku unapoamshwa Anza Kuomba mpaka saa 9, hauamki wewe mwenyewe, unaamshwa....!
Spirit Yako inajua kilichotokea Kwa Kaka Yako, inajua pia kinachotaka kutokea.....!
Ok nalo ni muhimu ntafanya ivoFanya hivi:
1. Jitamkie kuwa hakuna tatizo
2. Kapime presha