Fafanua vizuri. Maana hata mimi saivi usingizi unakata usiku niamka naweza nisilsle au nikilsla basi saa 1o au11 asbuhi..Saa 7 usiku unapoa mshwa Anza Kuomba mpaka saa 9, hauamki wewe mwenyewe, unaamshwa....!
Spirit Yako inajua kilichotokea Kwa Kaka Yako, inajua pia kinachotaka kutokea.....!
Asante sana mkuu nitajitahidi kufanya ivopole sa mkuu jitahidi kuchngamana na watu unaowafurahia mfan kwenye mpira jipe kazi au mazoezi mkuu pole sana naelewa hyo situation
Majibu mengine yanatisha sana 😱😱😱Saa 7 usiku unapoamshwa Anza Kuomba mpaka saa 9, hauamki wewe mwenyewe, unaamshwa....!
Spirit Yako inajua kilichotokea Kwa Kaka Yako, inajua pia kinachotaka kutokea.....!
Acha umamaHio tunaita post traumatic stress.
Pole sana mkuu
Ila nakushauri usije ukajidanganya kuanza kumeza vidonge vya anxiety au vya amnesia utaishia kuwa mraibu.
Jaribu vitu vipya, mazoezi, nenda sehemu mpya kupata exposure mpya, shirikiana na marafiki.