Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Habarini wadau!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ni kuwa nikazichanga kidogo nikatafuta mziki wangu uwe unanifariji kidogo ni Sony nz950 watt 1000.
Ajabu ni kuwa siku naunganisha mziki uliimba speaker ndogo zote nne ndaefu, ila kuanzia nadhani kesho yake sauti zikakata mbili zikabaki kuimba mbili mpaka leo hii, sijajua shida ni ipi, tafadhali kwa mwenye uzoefu na hii kitu nifanyaje ziweze imba zote.
Zinazoimba ni speaker ndogo zilizokaribu na subwoofer yake, ila zile za mbali kidog ndiyo hizo mbili hazitoi sauti.
Natakunguliza shukrani kwa wataonisaidia kutatua hili tatizo
Ahsanteni.