Msaada: Home Theatre yangu spika ndogo mbili hazitoi sauti!

1672919400162.png

Music system za wakubwa
 
DZ650 ni 1000watts mziki wake umeshiba haswa, sidhan kama LG atauzidi ubora wa huo mziki
Kuna Mwamba ana pc moja sema anauza tamaa sababu sikuhizi hazipo hizo model jamaa anaitoa kwa 950k

Kwamba Sony ya watts 1000 anamzidi huyu wa lg watts 1200 Boss!
 
Wanaweza wakawa sawa kabisa, LG sio Music oriented company.
 
Daaah hiyo LHD 756 LG Home theater ni balaa jingine Kaka, huwa nafungulia volume 22 tu majirani wanateseka na mdundo wa muziki mnene hadi hunilazimu kuweka volume 16 tu.

Kuna siku nilijikuta naipimia uwezo wake volume 40, nililetewa salamu hadi mtaa wa pili kwamba kuna sherehe ninapoishi.
 
Hahahah
 
Back
Top Bottom