Msaada: Home Theatre yangu spika ndogo mbili hazitoi sauti!

Home theatre imetengenzwa purposely kwa ajili ya movie thus sound ch yake ni 5 au 7. Unaposililiza mziki kuna speaker hazitumiki as mziki unaandaliwa kwa ch 2.
Sasa Ndugu, hata Nikiweka Movie still zinatoa sauti zilezile Ndefu Mbili na Kifupi Chake.
 
Aguse settings. Mpangilio wa speaker
1. Subwoofer
2. Center speaker,
3. Two front speaker
4. Two rear speaker (surround speaker)

Setting ikiwa kwenye 2 channels hizo rear speaker zinakata moto.
 
Usijali mkuu, hayo ndio mambo yangu
Mkuu kwema! Naomba muongozo kidogo hivi LHD 756 home theatre kwa 850k ni reasonable ya 1200w na iko poa au unaweza recommend brand ipi na model ipi ambayo nitapata kitu kizuri.Asante
 
Mkuu kwema! Naomba muongozo kidogo hivi LHD 756 home theatre kwa 850k ni reasonable ya 1200w na iko poa au unaweza recommend brand ipi na model ipi ambayo nitapata kitu kizuri.Asante
LG systems ambazo nilikuwa nazo zote zilikuwa dull. Ila kwa ukubwa wa hio system yako sina shaka mdundo utakuwepo kwa kiwango gani sifahamu.
 
Mkuu kwema! Naomba muongozo kidogo hivi LHD 756 home theatre kwa 850k ni reasonable ya 1200w na iko poa au unaweza recommend brand ipi na model ipi ambayo nitapata kitu kizuri.Asante
1200watt hio lg iko bei sio mbaya kivile ichukue ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…