Hello Wana GT. Naombeni msaada wenu Kwa mtu anayeishi South Africa. Nilikuwa nahitaji horse ya scania 6× 4 kutoka South Africa, kama Kuna mwana GT anayejua wapi naweza kupatana hii Horse ,MSAADA PLEASE.

Chief fanya uje utembee uone kwa macho na uchague gari yako mwenyewe.Zipo Scania za show room na zilizopata ajali ambazo unatengeneza na kuondoka nazo .