Msaada : Horse ya scania 6×4 in SOUTH AFRICA

Msaada : Horse ya scania 6×4 in SOUTH AFRICA

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello Wana GT. Naombeni msaada wenu Kwa mtu anayeishi South Africa. Nilikuwa nahitaji horse ya scania 6× 4 kutoka South Africa, kama Kuna mwana GT anayejua wapi naweza kupatana hii Horse ,MSAADA PLEASE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief fanya uje utembee uone kwa macho na uchague gari yako mwenyewe.Zipo Scania za show room na zilizopata ajali ambazo unatengeneza na kuondoka nazo .
 
mavindozii, weka uhondo hapa chief, tufaidike na wengine, wengi tupo interested
 
Back
Top Bottom