Ndugu yangu ikishindikana hospital jaribu kuongea ongea na watu wa Tanga kama kuna unaofahamiana nao kuna "kadawa" katafungwa mkononi au kiunoni na kiukweli ni kama uganga fulani ila haichukui miezi mitatu mtoto mtamkuta kwa jirani anapigana kabisa ,trust me