M mzee wa misele JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 366 Reaction score 46 Sep 19, 2015 #1 Nasumbululiwa na tumbo, muda mrefu nimeenda hospitali ya wilaya hawajaona tatizo wakuu wapi kuna hospitali nzuri mkoa wa Tanga? Mimi niko Korogwe..
Nasumbululiwa na tumbo, muda mrefu nimeenda hospitali ya wilaya hawajaona tatizo wakuu wapi kuna hospitali nzuri mkoa wa Tanga? Mimi niko Korogwe..