Msaada: Hospitali nzuri kwa maradhi ya tumbo Tanga

Msaada: Hospitali nzuri kwa maradhi ya tumbo Tanga

mzee wa misele

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
366
Reaction score
46
Nasumbululiwa na tumbo, muda mrefu nimeenda hospitali ya wilaya hawajaona tatizo wakuu wapi kuna hospitali nzuri mkoa wa Tanga?

Mimi niko Korogwe..
 
Back
Top Bottom