Msaada hospitali nzuri ya masuala ya uzazi

Msaada hospitali nzuri ya masuala ya uzazi

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habari
wana jF nilikuwa naomba msaada wa maelekezo juu ya hospitali nzuri ya
masuala ya uzazi mke wangu anatatizo upande wa uzazi sasa nahitaji akafanyiwe vipimo
kuhusu uzazi Je ni hospitali ipi nzuri niende nae kwa ajiri ya vipimo hivyo
Shukrani;
 
Umejuaje kama ana matatizo ya uzazi wakati hajapimwa?
 
Huenda ni wewe ndio mwenye matatizo na sio mke wako...kaka umeshafanya vipimo wewe mwenyewe kwanza?
 
Ugejaribu kuelewa ninachouliza tatizo alilonalo ni kutoka bleed mwezi mzima bila kukoma sasa tatizo hilo mie nae mwanaume nikapime nini sasa? nahitaji kujua tatizo ni nn ili tuweze pata huduma ya matibabu
 
Kama uko kanda ya ziwa nenda mwanza ulizia hospital ya dr. Kilonzo iko mtaa wa rufiji baada tu ya kuvuka mlango mmoja. Pole kaka.
 
Ugejaribu kuelewa ninachouliza tatizo alilonalo ni kutoka bleed mwezi mzima bila kukoma sasa tatizo hilo mie nae mwanaume nikapime nini sasa? nahitaji kujua tatizo ni nn ili tuweze pata huduma ya matibabu

upo sawa mkuu anaitaji daktari wa wagonjwa ya wanawake(gynecologist)
kazi kubwa apo ya daktari ni kuchukua maelezo kwa mgonjwa(clinical history),na kupendekeza vipimo(kama ikiitajika) pamaoja na matibabu sahihi.

apo kwenye bluu sio kila mgonjwa anayefika hospital anaandikiwa vipimo,kuna baadhi ya matatizo daktari anaweza kuyabaini kwa kutumia maelezo ya mgonjwa pekee(clinical history).
lakini kwa zile hospital za kibiashara mgonjwa sharti aandikiwe vipimo ata pale tatizo lipo wazi kabisa,au anaandikiwa baadhi ya vipimo ambavo haviendani kabisa na tatizo la msingi la mgonjwa(lengo kujiongezea mapato kwenye hospital zao)
daktari bingwa wa magonjwa hayo,wanapatikana hasa dsm,mwanza,moshi,arusha,mbeya na kwa baadhi ya mikoa kama dodoma,tanga.
hospital kubwa za rufaa karibu zote nchini zinz hawa wataalamu,muhimbili,bugando,kcmc wapo wa kutosha.

nb omba upate mtaalamu asiye na tamaa ya fedha unaweza kufilisiwa.
 
Ugejaribu kuelewa ninachouliza tatizo alilonalo ni kutoka bleed mwezi mzima bila kukoma sasa tatizo hilo mie nae mwanaume nikapime nini sasa? nahitaji kujua tatizo ni nn ili tuweze pata huduma ya matibabu

Anatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango?? If yes inaweza kuwa sababu.Kuna rafiki angu alikuwa na tatizo kama,hilo na alitibiwa na Dr Mchomvu wa Kairuki(mishion mikocheni hosp) na tatizo hilo halijawah kurudi.
 
Habari
wana jF nilikuwa naomba msaada wa maelekezo juu ya hospitali nzuri ya
masuala ya uzazi mke wangu anatatizo upande wa uzazi sasa nahitaji akafanyiwe vipimo
kuhusu uzazi Je ni hospitali ipi nzuri niende nae kwa ajiri ya vipimo hivyo
Shukrani;

. Ni vyema wewe na mkeo mkapime mtafute specialist mzuri
 
Anatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango?? If yes inaweza kuwa sababu.Kuna rafiki angu alikuwa na tatizo kama,hilo na alitibiwa na Dr Mchomvu wa Kairuki(mishion mikocheni hosp) na tatizo hilo halijawah kurudi.
Mambo vp jamaa, naomba kuuliza kama hiyo hosp ya Dr Kilonzo Mwz bado inaendelea kutoa huduma na kama yupo daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama, nina mgonjwa anayehitaji kumwona dr bingwa wa magonjwa ya akina mama. Asanteni sana nasubiri jibu kutoka kwenu.
 
Back
Top Bottom