Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda ni wewe ndio mwenye matatizo na sio mke wako...kaka umeshafanya vipimo wewe mwenyewe kwanza?
Ugejaribu kuelewa ninachouliza tatizo alilonalo ni kutoka bleed mwezi mzima bila kukoma sasa tatizo hilo mie nae mwanaume nikapime nini sasa? nahitaji kujua tatizo ni nn ili tuweze pata huduma ya matibabu
Ugejaribu kuelewa ninachouliza tatizo alilonalo ni kutoka bleed mwezi mzima bila kukoma sasa tatizo hilo mie nae mwanaume nikapime nini sasa? nahitaji kujua tatizo ni nn ili tuweze pata huduma ya matibabu
Habari
wana jF nilikuwa naomba msaada wa maelekezo juu ya hospitali nzuri ya
masuala ya uzazi mke wangu anatatizo upande wa uzazi sasa nahitaji akafanyiwe vipimo
kuhusu uzazi Je ni hospitali ipi nzuri niende nae kwa ajiri ya vipimo hivyo
Shukrani;
Mambo vp jamaa, naomba kuuliza kama hiyo hosp ya Dr Kilonzo Mwz bado inaendelea kutoa huduma na kama yupo daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama, nina mgonjwa anayehitaji kumwona dr bingwa wa magonjwa ya akina mama. Asanteni sana nasubiri jibu kutoka kwenu.Anatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango?? If yes inaweza kuwa sababu.Kuna rafiki angu alikuwa na tatizo kama,hilo na alitibiwa na Dr Mchomvu wa Kairuki(mishion mikocheni hosp) na tatizo hilo halijawah kurudi.