Ugejaribu kuelewa ninachouliza tatizo alilonalo ni kutoka bleed mwezi mzima bila kukoma sasa tatizo hilo mie nae mwanaume nikapime nini sasa? nahitaji kujua tatizo ni nn ili tuweze pata huduma ya matibabu
upo sawa mkuu anaitaji daktari wa wagonjwa ya wanawake(gynecologist)
kazi kubwa apo ya daktari ni kuchukua maelezo kwa mgonjwa(clinical history),na
kupendekeza vipimo(kama ikiitajika) pamaoja na matibabu sahihi.
apo kwenye bluu sio kila mgonjwa anayefika hospital anaandikiwa vipimo,kuna baadhi ya matatizo daktari anaweza kuyabaini kwa kutumia maelezo ya mgonjwa pekee(clinical history).
lakini kwa zile hospital za kibiashara mgonjwa sharti aandikiwe vipimo ata pale tatizo lipo wazi kabisa,au anaandikiwa baadhi ya vipimo ambavo haviendani kabisa na tatizo la msingi la mgonjwa(lengo kujiongezea mapato kwenye hospital zao)
daktari bingwa wa magonjwa hayo,wanapatikana hasa dsm,mwanza,moshi,arusha,mbeya na kwa baadhi ya mikoa kama dodoma,tanga.
hospital kubwa za rufaa karibu zote nchini zinz hawa wataalamu,muhimbili,bugando,kcmc wapo wa kutosha.
nb omba upate mtaalamu asiye na tamaa ya fedha unaweza kufilisiwa.