steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Binafsi nna mtoto na mwanamke mwingine ila kwa Sasa naishi na mwanamke mwingine tunapitia ugumu kupata ujauzito
Sitaki kumlaum mwenzangu natamani nipate hospitali yenye gharama nafuu Dar es Salaam nipike huenda nikawa tatizo ni Mimi
Anayefahamu anisaidie
Sitaki kumlaum mwenzangu natamani nipate hospitali yenye gharama nafuu Dar es Salaam nipike huenda nikawa tatizo ni Mimi
Anayefahamu anisaidie