Msaada hp laptop inasumbua their three issues to be solved

Msaada hp laptop inasumbua their three issues to be solved

VeroEretico

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
512
Reaction score
398
Jamani naomba mnisaidie matatizo haya kwe HP laptop
1. cursor inaganda na kutembea hovyo kwenye monitor kila nikichomeka adapter kuchaji hivyo inanilazimu kuchaji ndio nitumie tatizo limeanza baada kuharibika adapter ya mwazo hii mpya inasumbua
2. Microsoft office app zangu ikifungua inaniandikia activation failed natumia window 10
3. Number za upande wapili kulia hazifanyi kazi nimejaribu Ku unlock hakuna tu
 
Upo wapi ?
1 Hapo kwenye cursor tatizo inaweza kuwa ni iyo adapter haipo compatible na powe supply ya laptop yako.

2,3 kabla ya hiyo windows ten ulikua unatumia os ipi ?
Hayo matatizo yalikuwepo ?
Model ya hp yako ?
 
tatizo la kwanza ni hiyo adpter ni ya bei rahisi elf 15 au elf20 au kwa lugha ya kkoo ni ya dukani haifai haifai nunua genuine ni bei ghali sana au tafuta ya mtumba bei inaanzia elf 30 kuendelea ukibisha ukawa mbahili ukiendelea kutumia hiyo utauwa PC yako

tatizo la pili download kmspirco then maliza hiyo ishu

tatizo la tatu sijakuelewa namba hazifanyi kazi au keyzote za numblock hazibonyezeki hata ukitumia pageup pagedown ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa na hili tatizo na pc ni hp, shida ni hapo ni adapter ni fake inabidi ubadilishe.
 
1. Tafuta adapter original achana na adapter xa bei cheee
2. Tafuta cracks za office programs.. kuna powerful activator ninayo inaactivate windows zooote na office kuanzia 2010 up to now.
3. Jaribu kupress button ya NUM LOCK kama ipo active.. ikiwa active itaruhusu ww kutumia hizo number otherwise itatumika kama cursor tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom