Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Nimeingia ktk Tovuti yao, nimeshindwa kuona tarehe ya kuripoti wanafunzi wa MD mwaka wa kwanza. Hata sehemu ya ku-download Joining instruction sijaiona ikiwa na taarifa zote muhimu kuhusu wanafunzi wa mwaka wa kwanza.
Kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu hilo, tafadhali nipe dondoo. Natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu.
Kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu hilo, tafadhali nipe dondoo. Natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu.