msaada huduma ya kwanza pls!!

msaada huduma ya kwanza pls!!

mswele

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
687
Reaction score
417
habari wanajf wenzangu ama baada ya salamu naomba munielimishe au munijuze mwanangu ana miezi mitano na nusu ameanguka bahati mbaya kutoka juu ya meza mpaka chini hana alama yoyote lkn ana kauvimbe kdg kwa chini ya jicho nimfanyeje nisaidieni!!!
 
mpeleke hosp mtoto wa umri huo kudondoka ni hatari sana hasa kama urefu aliodondoka ni mkubwa
 
kinachonishangaza anacheza na anacheka km kawaida na nikimshika ule upande hana maumivu
 
Back
Top Bottom