msaada huhusu kiwango cha mshara nafas ya sales kampuni ya multchoice(dstv)

msaada huhusu kiwango cha mshara nafas ya sales kampuni ya multchoice(dstv)

mr traders

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
38
Reaction score
15
hellow wadau kama week moja iliyopita nilifanya interview kampuni ya multchoice(dstv) nafas za sales na nimefanikiwa kupata na tunatatikiwa kwenye training tarehe 23/11/2012, naomba anayejua kiwango cha mshara wanacholipa? na training inachukua muda gan? asanteni wadau
 
Dunia inakimbia kwa kasi kiasi naogopa axis inaweza chomoka tujikute tunaishi mchana full year. Hili swala la mshahara si linazungumzwa kabla ya mkataba, au?

Au ni kazi ya namna gani hiyo mkuu, part time au promotion? Hata hizo naamini ungeambiwa. Au walisema during the interview ila wakafanya mistake ya kuongea kwa kiingereza wakakuacha?
 
Mbona kila swali lako inatakiwa ujijibu mwenyewe ndugu yangu ama kazi hii umeshikwa mkono yaani hujui mshahara na plus hujui training inachukua muda gani du,sasa unaenda kufanya nini si bora wenye uhitaji wa kazi wapewe wewe uendelee na hapo ulipo
 
mkuu vp swali langu umelielewa kwel? mm sijashikwa mkono mm nitajujuaje mshara? nimepigiwa simu interview uliyofanya umefaulu njoo kwenye training tarehe fulan.
 
mkuu vp swali langu umelielewa kwel? mm sijashikwa mkono mm nitajujuaje mshara? nimepigiwa simu interview uliyofanya umefaulu njoo kwenye training tarehe fulan.

waambie milioni na free premium package on tv
 
mkuu vp swali langu umelielewa kwel? mm sijashikwa mkono mm nitajujuaje mshara? nimepigiwa simu interview uliyofanya umefaulu njoo kwenye training tarehe fulan.

Aliekupigia simu ulitakiwa umuulize kwamba training/orientation inachukua muda gani? Utaitwaje training na employer kama hamja-negotiate pay? Unless employer nae ni mbabaishaji. Mlitakiwa mnegotiate pay kabla mengine hajaanza. Nenda kariport hiyo 11/23/2012 lakini kabla hujaanza training waulize/negotiate pay
 
Acha kiherehere, nenda kapewe mkataba na kabla ya kusign u-soma vizuri utajua wanalipa ngapi. Mambo ya training utayajua huko huko kwenye training.
 
mkuu hiyo intv ilikuwa ya kuandika?

kama ilikuwa oro bas ww ni (Mzembe)
ulitawa uwaulize, au uwaambia unachotaka kutoka na output/ mchango wako unaotegemea kuutoa kuendeleza kampun.

ww nenda ila kabla ya kuanza training lazima ujue hiyopackage na issue nyingine km afya, malazi, usafir nk
 
Mhh... Interesting. Umepata kazi na unajua tarehe ya training ila haujui mshahara? Very very interesting. May I suggest upigie simu recruiters na kuwauliza? Hiyo ni swali nyeti sana, no?
 
Back
Top Bottom