isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Kwa kuongezea katika uchakataji aliofanya chaliifrancisco Mnyonyo ni dawa na njia bora ya asili ya kupanga uzazi.
Mwanamke atatumia mbegu yake kwa kumeza masaa saba kabla ya "Tendo la ndoa" endapo yupo katika hatari na siku zake. 🙈
Kwa ufupi kila jambo basi utapata solution yake endapo utadadisi.Aisee
Kwa Kiswahili mbono au mnyonyoCastor Bean/Oil Plant (Ricinus Communis).
Kwa kiswahili sijui ndio wanaita mnyonyo.
Mbegu zake zinatumika kutengeneza Castor Oil mafuta (laxative) yenye matumizi mbali mbali.
Pia mbegu zake zinaweza kuwa processed chemically kutengeneza "Ricin". Hii ni sumu ambayo inaua taratibu na ni nontraceable. Yani ukipewa hii sumu haufi hapo hapo na hata ukifa baada ya siku kadhaa hata ukifanyiwa autopsy ni ngumu ku establish kama sumu ndio chanzo cha kifo.
Kwa Kiswahili mbono au mnyonyo
nimesikia unameza kutokananamiaka unayotaka kupangauzazi kama mitano unameza mbegu tanoKwa kuongezea katika uchakataji aliofanya chaliifrancisco Mnyonyo ni dawa na njia bora ya asili ya kupanga uzazi.
Mwanamke atatumia mbegu yake kwa kumeza masaa saba kabla ya "Tendo la ndoa" endapo yupo katika hatari na siku zake. 🙈
Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunayaita mapmbu ya paka......tulikuwa tunayala bila kujua fao zake!
Punje moja unayomeza itakuwa na effects kwa muda wa miezi minne. Ikitimia tena itakupasa ufanye activation ya bundle jipya. 🙈nimesikia unameza kutokananamiaka unayotaka kupangauzazi kama mitano unameza mbegu tano
asante kwa elimPunje moja unayomeza itakuwa na effects kwa muda wa miezi minne. Ikitimia tena itakupasa ufanye activation ya bundle jipya. 🙈
ushawahi kujaribu ikasaidia kwl?? au na we umeskia tu mana hz ishu haznaga kusema ulikuwa unatest mara paap unajikuta unaitwa babaPunje moja unayomeza itakuwa na effects kwa muda wa miezi minne. Ikitimia tena itakupasa ufanye activation ya bundle jipya. [emoji85]
Mkuu binafsi sijafikia hiyo stage, kutokana na utafiti na mrejesho kutoka kwa walengwa wakuu "Wana Ndoa" wameapprove kuwa ni kweli na yafaa kwa matumizi.ushawahi kujaribu ikasaidia kwl?? au na we umeskia tu mana hz ishu haznaga kusema ulikuwa unatest mara paap unajikuta unaitwa baba
Sent using Jamii Forums mobile app
okMkuu binafsi sijafikia hiyo stage, kutokana na utafiti na mrejesho kutoka kwa walengwa wakuu "Wana Ndoa" wameapprove kuwa ni kweli na yafaa kwa matumizi.
Yote mawili ni sahihi.Mnyonyo
Yote mawili ni sahihi.
Mbono /m-bo-no/ na mnyonyo
Umechanganya mkuu, hizi sio pumbu za paka hiyo ni mnyonyo ukijichanganya ukatafuna mbegu zake zaidi ya tatu, utaharisha mpaka ulegee.Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunayaita mapmbu ya paka......tulikuwa tunayala bila kujua fao zake!
Hii kitu iko kimya sana miaka hii, miaka ya mwazoni mwa 2000 ulipewa sana promo huu mmea, siku hizi naona zzzzzzz!Huo mti si Mbono /m-bo-no/ ni mnyonyo.
Huu hapa ndio m bono unatumika kutengeneza bio diesel