Msaada huu mmea unaitwaje?

Msaada huu mmea unaitwaje?

Castor Bean/Oil Plant (Ricinus Communis).

Kwa kiswahili sijui ndio wanaita mnyonyo.

Mbegu zake zinatumika kutengeneza Castor Oil mafuta (laxative) yenye matumizi mbali mbali.

Pia mbegu zake zinaweza kuwa processed chemically kutengeneza "Ricin". Hii ni sumu ambayo inaua taratibu na ni nontraceable. Yani ukipewa hii sumu haufi hapo hapo na hata ukifa baada ya siku kadhaa hata ukifanyiwa autopsy ni ngumu ku establish kama sumu ndio chanzo cha kifo.
Kwa Kiswahili mbono au mnyonyo
 
Kwa kuongezea katika uchakataji aliofanya chaliifrancisco Mnyonyo ni dawa na njia bora ya asili ya kupanga uzazi.

Mwanamke atatumia mbegu yake kwa kumeza masaa saba kabla ya "Tendo la ndoa" endapo yupo katika hatari na siku zake. 🙈
nimesikia unameza kutokananamiaka unayotaka kupangauzazi kama mitano unameza mbegu tano
 
nimesikia unameza kutokananamiaka unayotaka kupangauzazi kama mitano unameza mbegu tano
Punje moja unayomeza itakuwa na effects kwa muda wa miezi minne. Ikitimia tena itakupasa ufanye activation ya bundle jipya. 🙈
 
ushawahi kujaribu ikasaidia kwl?? au na we umeskia tu mana hz ishu haznaga kusema ulikuwa unatest mara paap unajikuta unaitwa baba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu binafsi sijafikia hiyo stage, kutokana na utafiti na mrejesho kutoka kwa walengwa wakuu "Wana Ndoa" wameapprove kuwa ni kweli na yafaa kwa matumizi.
 
Yote mawili ni sahihi.
Mbono /m-bo-no/ na mnyonyo

Huo mti si Mbono /m-bo-no/ ni mnyonyo.
Huu hapa ndio m bono unatumika kutengeneza bio diesel
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    38.4 KB · Views: 5
Huo mti si Mbono /m-bo-no/ ni mnyonyo.
Huu hapa ndio m bono unatumika kutengeneza bio diesel
Hii kitu iko kimya sana miaka hii, miaka ya mwazoni mwa 2000 ulipewa sana promo huu mmea, siku hizi naona zzzzzzz!
 
Back
Top Bottom