mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Castor Bean/Oil Plant (Ricinus Communis).
Kwa kiswahili sijui ndio wanaita mnyonyo.
Mbegu zake zinatumika kutengeneza Castor Oil mafuta yenye matumizi mbali mbali.
Pia mbegu zake zinaweza kuwa processed chemically kutengeneza "Ricin". Hii ni sumu ambayo inaua taratibu na ni nontraceable. Yani ukipewa hii sumu haufi hapo hapo na hata ukifa baada ya siku kadhaa hata ukifanyiwa autopsy ni ngumu ku establish kama sumu ndio chanzo cha kifo.
Ni dawa na ni sumu.
Huo nimewahi kuona zamani watu wakiogeshea watoto na maji ya moto kwa kusema inatibu degedege na pia kuna wengine hutengeneza mafuta ila hapo juu kuna mtu chaliifrancisco kafafanua vizuri inatengenezewa castor oil haya yanatumika kwa mambo mengi sana kukanda sehemu mbali mbali za miwili ikiwa ni kilainishi cha viungo.
Castor Bean/Oil Plant (Ricinus Communis).
Kwa kiswahili sijui ndio wanaita mnyonyo.
Mbegu zake zinatumika kutengeneza Castor Oil mafuta yenye matumizi mbali mbali.
Pia mbegu zake zinaweza kuwa processed chemically kutengeneza "Ricin". Hii ni sumu ambayo inaua taratibu na ni nontraceable. Yani ukipewa hii sumu haufi hapo hapo na hata ukifa baada ya siku kadhaa hata ukifanyiwa autopsy ni ngumu ku establish kama sumu ndio chanzo cha kifo.
Hahaha hapana mkuu kuhusu hilo sifahamu. Najua tu castor oil ni laxative hivyo yanatumika kwa wenye shida katika digestion.Dah, nilijua utahitimisha kwamba inaongeza nguvu za kiume!
Noma sana.
Hahaha hapana mkuu kuhusu hilo sifahamu. Najua tu castor oil ni laxative hivyo yanatumika kwa wenye shida katika digestion.
Kwamba tayari ulishajenga picha yako ya hitimisho lakini ukakutana na kitu tofauti sio.Nimekuelewa mkuu, yaani ulivyotiririka niliwaza hivyo, ila ukaja kuhitimisha tofauti.
Kwamba tayari ulishajenga picha yako ya hitimisho lakini ukakutana na kitu tofauti sio.