Efendi JF-Expert Member Joined Aug 23, 2016 Posts 314 Reaction score 438 Apr 12, 2020 #1 Wanandugu heri ya Pasaka kuna msemo nauona wanajf wanautumia sana ila mi sijajua umetokea wapi yaani una maana gani "baba unahonga hawara elfu kumi, watoto wanakufa na njaa nyumbani Uzi tayari Sent using Jamii Forums mobile app
Wanandugu heri ya Pasaka kuna msemo nauona wanajf wanautumia sana ila mi sijajua umetokea wapi yaani una maana gani "baba unahonga hawara elfu kumi, watoto wanakufa na njaa nyumbani Uzi tayari Sent using Jamii Forums mobile app
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Apr 12, 2020 #2 Usichoelewa ww ni nn mkuu....? Yess bishoo hasWaaaa